Tamu....

Naona jamaa lilikuwa linaenda Tanga ukweni likaona bus likapiga picha
 
Preta Heri ya mwaka mpya
halafu sijui nimekufananisha kama nilikuona pale Magugu

hivi ni wewe yule kaka uliyekuwa umevaa shati la zambarau na suruali nyekundu....?
ndio maana uliniangalia sana........sasa mbona hukunisemesha.....?

hepi nyu yia bana....



 
kuna daladala moja huko darisalam lenyewe lilikuwa linasema ''nguvu huna, pesa huna, hata mkwara?''
 
hivi ni wewe yule kaka uliyekuwa umevaa shati la zambarau na suruali nyekundu....?
ndio maana uliniangalia sana........sasa mbona hukunisemesha.....?

hepi nyu yia bana....




Ndio mimi bana
Tena hapo nilikuwa na kiatu cha rangi nyeupe
Ahh niliogopa bana
Asante sana sana
 
niko ofcn aise kwa muda kidogo
kuna mambo naweka sawa hapa
nipe ratiba basi
mi mwenyewe nipo bize kweli ofsini ila namsubiri sponsor wangu mmoja nikapate lunch hapo sea cliff aisee
 
Aramba aramba haaaaam haaaaam...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…