Tazama namna samaki huyu alivyoruka sarakasi ili kujipatia matunda yaliyo jirani na maji.
Samaki huyu aliyegoma kulala njaa anapatikana Brazil katika bwawa la Bonito.
Nikutakie mwanzo mwema wa wiki na utafutaji mwema wa riziki, Usikate tamaa.
View attachment 1264334