Tamu na chungu ya penzi jipya

lwambof07

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2016
Posts
4,643
Reaction score
5,348
Hellow JF

Ninajua humu wote tumepitia penzi jipya na huwa lina raha yake ya kipekee kabisa bila ya kusahau hakuna kitu chenye mazuri tu vipi kuhusu vile vilivyokuwa vinakuboa tena yawezekana sasa hivi upo kwenye penzi jipya leo ni siku ya kushare kwa JF wenzako vile vitu ulivyokuwa unafanyiwa au unaendelea kufanyiwa katika penzi jipya ambavyo hautokuja kusahau katika maisha yako kiwe kizuri au kibaya.....
......... karibuni .........

Mimi nitaanza kitu nakumbuka hadi leo ni ile tulikuwa tunaongea na simu hadi inapata moto na muda mwingi alikuwa anatamani tuwe karibu ila sasa aliniboa sana tabia yake ya kupiga mizinga mapema kabisa ndani ya siku 2 tu mizinga ikaanza View attachment 2062439View attachment 2062444View attachment 2062437View attachment 2062440View attachment 2062438View attachment 2062441View attachment 2062442View attachment 2062443
 
Na ile mshaongea na simu mda wa kukata kila mtu anamwambia mwenzake kata wewe mara ghafla mada mpya inaibuka maongezi yanaendelea dah [emoji23][emoji23]
[emoji1787]kata wewe bhana utasikia hapana kata wewe basi hatari sana simu mnaongea zaid ya masaa sita halafu sasa cha maana hamnaga[emoji1787]
 
Mnajikuta kama vile nyie ndio founder wa mapenzi et
yaan tena kabla hamja nyanduana ndo hatar zaid mzee baba kwenye kufukuzia mzigo unakuwa kama chizi kwa siku kadhaa atake nini ukatae
 
Ukishamkojolea huyo mpenzi mpya unaanza saka tena upya hii thrill
 
yan kwisha habar taratibu vitu vinaanza kupunguzwa
Yaani bwana sijui kuna siri gani kwenye hawa wadhungu....ukishamwagia mwanamke mara mbili tatu basi uzuri wake wote unapotea ghafla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…