Natanguliza shukrani wakuu,
najua hapa tupo tofauti na kila mmoja ana uelewa wake, mi nahitaji msaada kwa yeyote mwenye kujua ni wapi nitaweza i download hii movie au Tamthiliya inayoitwa Sultan inayorushwa na kituo cha televishen cha azam. nitashukuru sana wakuu. nawasilisha!!