Sir Teacher
Senior Member
- Nov 16, 2015
- 111
- 99
Hiyo sultan haina marudio?hii tamthilia wanaita SULTANA hatari kwa ndoa yani unakosa tendo, unakuta mwenza sa mbili kapika, hadi na nusu umekula unakuta mara sultana hadi sa tano huko akija kulala umelala, tendo hujapata, nipeni uzoefu nyie ratiba mmezipangaje
Kujiendekeza tu mi nimuache mume wangu niliyekesha kuswali kiyamu laili kumpata kwaajili ya huo upuuzi.
Yapo Kama yote... Saa 7usiku...saa 4asubuh na saa 10 jioni
Hawa wa kuchapaNa muachike tu maana Hakuna namna[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na vipi wale wanaunguzaga vyakula kisa DOUBLE KARA
nipeni uzoefu nyie ratiba mmezipangaje
Bora sijawahi Iona,,
hivi kwani wakina mama huwaga hampendi kugegedwa na waume zenu mbona wakati mwingine mnalalamika ooo mumewangu yeye akipiga bao moja tu chali anakoloma haamshi tena mkoje nyie ??? sasa unapoangalia siema mpaka umkute mwenzio kalala unaweza ukaisha hata mwezi je wewe huna hamu ya kugegedwa???Unamuwashia fan unamuacha hapo ukirudi SAA 5 anakoloma hahahah