Tamthilia ya Quantico yatumia Kiswahili

The A time..bonge moja la movie
 
Tungeanza kuzalisha akina Diamond tangu angalau miaka ya 90's, haya mambo hivi sasa wala yasingetufanya tuwe tunafungulia threads! Lakini dah, nchi yangu haitajwi tajwi popote duniani na ndio maana kinapotokea kitu japo kidogo chenye nasaba na nchi yetu; basi kwetu hiyo ni furaha!
 
Nimetoka kuangalia episode ya leo muda mfupi tu ulopita.

Mwishoni mwishoni wamelonga Kiswahili.
 
Priyanka ndo alishindwa na diamond kwenye bet int award 2015...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…