Lete uandike wewe kile ulidhani kilipaswa kuandikwaSasa hapa wameandika nini?!
Huyu ni Kaskazini huyu!...Imetolewa na COMRED MUNISI MWKT UVCCM MKOA![]()
Kitwanga ipo ndani ya nyumba yenu, vipi wewe Mathias Manga ni mlezi wa uvccm au vieepe kwa upande wako! Hamjielewi.acha kitwanga mchana huu ww
Tehetehe, juzi nilipita skani la ccm ambao walipewa unga na jamaa nikishuhudia, jana nikawakuta kama kawaida yao wamekaa kijiweni wanakula mirungi ( asilimia kubwa ya vijana na wazee wa ccm Arusha hawajishughulishi na kazi wamekaa kusubiri kodi ya nyumba kutoka kwenye magofu ya urithi) nikawaambia vipi? Yule muheshimiwa mbona haji tena na unga au mmeacha kula? Hata hivyo mwambieni alete sukari sasa unga mnaumudu, weeee nilioga mvua ya matusi nikanyamaza walipotulia nikawaambia naona Kitwanga aliwatembelea leo siwajibu mpaka akili iwakae sawa, nikawaacha wanatoa povu la kijani mdomoni maana walijaza mirungi kama ng'ombe anacheua zizini.Hivi kile chungu kilichokua kivunjwe na yule mgombea wa chama cha majipu aliyeshidwa kwenye ubunge ameshavunjaga?