Joshua Haji
Senior Member
- Nov 4, 2011
- 108
- 20
Kwa hizo hekima zako nadhani ungetamani kama huyu jamaa angekuwa selo kwa sasa! Any way hata mimi natamani kama ungekuwa unaongelea huu utumbo wako kutoka kuzimu!Kama hakuna uhuru umewezaji kupost hayo malalamiko yako? Au una post ukiwa Segerea?
Wacheni upumbavu...hivi kwa akili zenu US waamue mambo ya ndani....halafu ndio mnasema mna ukombozi wa fikra....naona sasa mmechoka kuzungusha mikono mmeanza kuzungusha viuno,mtashindwa tu.
TAMKO LA TYP JUU YA HATUA ILIYOFIKIWA NA BODI YA MCC KUSITISHA MISAADA YOTE NCHINI
Tanzania Youth Patriots (TYP) Imepokea kwa Masikitiko Makubwa Taarifa ya Maamuzi ambayo Bodi ya MCC Imeyafikia hivi karibuni, ni dhahiri shairi kuwa hata kama tunaweza kupata fedha za kujihudumia kwenye maeneo ambayo awali walikuwa wanatusaidia ni wazi kwamba tutatetereka kidogo hata kuweza kusimama kwa Miguu yetu miwili kwa Ukamilifu.
Ikumbukwe kuwa Sababu zilizopelekea Wahisani wetu Kufikia uamuzi huo zimetokana na Masharti ambayo yamewekwa kama Vigezo kwa Nchi Husika kutimiza ili iweze kunufaika na Hisani hiyo. Kuzingatia Demokrasia na Uhuru wa Watu kutoa Maoni Yao Nchini vimekua Chanzo Cha Wahisani Hao Kufikia Maamuzi ya Kusitisha Kabisa Msaada wote ambao ulikuwa unafikia Takribani Trillioni 1. 4 za Kitanzania.
Kwa Tafsiri iliyopo Katika Jumuiya za Kimataifa hasa Marekani na Ulaya, Sheria mpya ya Uhalifu wa Mitandao imeonekana Ikikandamiza Uhuru wa Watu kutoa Maoni Yao kwa Uwazi na Maamuzi ya ZEC Kufuta Kabisa na Kurudia Uchaguzi wote Visiwani Zanzibar pia imeonekana ni Hatua ya Kukandamiza Demokrasia kwa Wazi.
TYP inatoa Wito kwa Serikali Ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Chini ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli kuona sasa ni Aibu kwa Nchi yetu kwa Mara ya kwanza Kwenye Karne Hii ya Ishirini na Moja kuwekewa Vizuizi vya Kiuchumi ili Kusimamia Kile ambacho Dunia na Watanzania wengi kwa Ujumla wanaamini ndio Haki.Sisi Kama Taifa Huru Linaloheshimu Misingi ya Haki na Demokrasia hatutangojea Shinikizo kutoka Nje litusaidie kuchukua Maamuzi sahihi kwa Mustakabari wa Taifa Letu na Watu wake Kwa Ujumla.
Tunaitaka Serikali kupitia Wizara Husika isimamie Mara moja Marekebisho ya Sheria Hii ya Uhalifu wa Mitandao na kuwasilisha Muswaada Bungeni mapema katika Vikao Vijavyo vya Bunge ili Kusimamia Misingi ya Uhuru wa watu kutoa Maoni yao Kama tulivyowashiriki wake. Hali kadhalika, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Vyama Vya Siasa Husika na Jumuiya Mbalimbali kwa Pamoja vikae Chini kuhakikisha Suluhu ya kuleta Umoja kupitia Mchakato wa Maridhiano baina ya Pande Kuu Mbili zinazovutana unaleta Muafaka.
Ni rai yetu kuwa Serikali yetu Sikivu na yenye kutenda haki kama inavyojipambanua kupitia kwa Mh Rais John Pombe Magufuli itafanyia kazi Maoni yetu na ya wadau wengine juu ya suala hili Lililochukua taswira ya Kidiplomasia.
Imetolewa na :-
Idara ya Habari na Mahusiano
TYP Taifa.
Hakuna Nchi Huru inayoamuliwa Mambo yake LKN Makubaliano ya Kimataifa kama wewe ni Nchi Shirika ukienda Kinyume Basi wenzako hawana Budi bali kukuonyesha kwa Vitendo ili Ikusaidie kubadilika. Kwa Nchi maskini kama Yetu tegemea Vikwazo vya Kiuchumi... Hii yote ni Catalyst Uamuzi ni wetu Mkuu!!Wacheni upumbavu...hivi kwa akili zenu US waamue mambo ya ndani....halafu ndio mnasema mna ukombozi wa fikra....naona sasa mmechoka kuzungusha mikono mmeanza kuzungusha viuno,mtashindwa tu.
Kwani uwezo wetu wa kufikiri unaishia hapa? Hivi kweli Nchi Haiwezi kutafuta trilioni moja mpaka Tutoe mapovu namna Hii?
TAMKO LA TYP JUU YA HATUA ILIYOFIKIWA NA BODI YA MCC KUSITISHA MISAADA YOTE NCHINI
Tanzania Youth Patriots (TYP) Imepokea kwa Masikitiko Makubwa Taarifa ya Maamuzi ambayo Bodi ya MCC Imeyafikia hivi karibuni, ni dhahiri shairi kuwa hata kama tunaweza kupata fedha za kujihudumia kwenye maeneo ambayo awali walikuwa wanatusaidia ni wazi kwamba tutatetereka kidogo hata kuweza kusimama kwa Miguu yetu miwili kwa Ukamilifu.
Ikumbukwe kuwa Sababu zilizopelekea Wahisani wetu Kufikia uamuzi huo zimetokana na Masharti ambayo yamewekwa kama Vigezo kwa Nchi Husika kutimiza ili iweze kunufaika na Hisani hiyo. Kuzingatia Demokrasia na Uhuru wa Watu kutoa Maoni Yao Nchini vimekua Chanzo Cha Wahisani Hao Kufikia Maamuzi ya Kusitisha Kabisa Msaada wote ambao ulikuwa unafikia Takribani Trillioni 1. 4 za Kitanzania.
Kwa Tafsiri iliyopo Katika Jumuiya za Kimataifa hasa Marekani na Ulaya, Sheria mpya ya Uhalifu wa Mitandao imeonekana Ikikandamiza Uhuru wa Watu kutoa Maoni Yao kwa Uwazi na Maamuzi ya ZEC Kufuta Kabisa na Kurudia Uchaguzi wote Visiwani Zanzibar pia imeonekana ni Hatua ya Kukandamiza Demokrasia kwa Wazi.
TYP inatoa Wito kwa Serikali Ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Chini ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli kuona sasa ni Aibu kwa Nchi yetu kwa Mara ya kwanza Kwenye Karne Hii ya Ishirini na Moja kuwekewa Vizuizi vya Kiuchumi ili Kusimamia Kile ambacho Dunia na Watanzania wengi kwa Ujumla wanaamini ndio Haki.Sisi Kama Taifa Huru Linaloheshimu Misingi ya Haki na Demokrasia hatutangojea Shinikizo kutoka Nje litusaidie kuchukua Maamuzi sahihi kwa Mustakabari wa Taifa Letu na Watu wake Kwa Ujumla.
Tunaitaka Serikali kupitia Wizara Husika isimamie Mara moja Marekebisho ya Sheria Hii ya Uhalifu wa Mitandao na kuwasilisha Muswaada Bungeni mapema katika Vikao Vijavyo vya Bunge ili Kusimamia Misingi ya Uhuru wa watu kutoa Maoni yao Kama tulivyowashiriki wake. Hali kadhalika, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Vyama Vya Siasa Husika na Jumuiya Mbalimbali kwa Pamoja vikae Chini kuhakikisha Suluhu ya kuleta Umoja kupitia Mchakato wa Maridhiano baina ya Pande Kuu Mbili zinazovutana unaleta Muafaka.
Ni rai yetu kuwa Serikali yetu Sikivu na yenye kutenda haki kama inavyojipambanua kupitia kwa Mh Rais John Pombe Magufuli itafanyia kazi Maoni yetu na ya wadau wengine juu ya suala hili Lililochukua taswira ya Kidiplomasia.
Imetolewa na :-
Idara ya Habari na Mahusiano
TYP Taifa.
Hao baba zenu Marekani wanawafunga watu bila kuwahoji Guantanamo,Snowden na Julian wa Wikileaks leo wamekimbia nchi kwa sheria za cyber crime,je unajuwa kuwa Symbion ni Richmond ambayo US wameficha uozo wao?..kama ni msaada wakate tu,leo wanajipanga jinsi ya kumkata Triump....fungukeni akili madogo...hivi hamjui kwamba us kupitia luwasa wameshindwa uchaguzi,2015?..wacha kutumika ukiwa kijana.Hakuna Nchi Huru inayoamuliwa Mambo yake LKN Makubaliano ya Kimataifa kama wewe ni Nchi Shirika ukienda Kinyume Basi wenzako hawana Budi bali kukuonyesha kwa Vitendo ili Ikusaidie kubadilika. Kwa Nchi maskini kama Yetu tegemea Vikwazo vya Kiuchumi... Hii yote ni Catalyst Uamuzi ni wetu Mkuu!!
MCC is a good Idea, kama mchakato wake huko Senate na kwa Mama Hillary wali Lobby kwa faida yao Japo ikaangukia Tz FBI ikimaliza Kazi yake tutajua,Again toa Obsession zako na Lowasaa weka Politics Aside. Unabariki kilichotokea Zanzibar!? Hauoni Uonevu wa Cybercrime Law!? haya ni masuala madogo ambayo wakusolve ni sisi wenyewe, Je tusolve kwa Gharama ya Kukosa Umeme nafuu Vijijini? what next!? Maji!? Biashara ya Kimataifa!?? Madawa!?? Teknolojia!? Ujuzi?? [emoji53]Hao baba zenu Marekani wanawafunga watu bila kuwahoji Guantanamo,Snowden na Julian wa Wikileaks leo wamekimbia nchi kwa sheria za cyber crime,je unajuwa kuwa Symbion ni Richmond ambayo US wameficha uozo wao?..kama ni msaada wakate tu,leo wanajipanga jinsi ya kumkata Triump....fungukeni akili madogo...hivi hamjui kwamba us kupitia luwasa wameshindwa uchaguzi,2015?..wacha kutumika ukiwa kijana.
Akili yako inakutuma marekani ndio kila kitu!...nimekuonyesha tu nongwa na gubu ya wamarekani...lazima pia ujue hata bujeti zao zinamapungufu na aibu ya upungufu huo huamishia afrika.MCC is a good Idea, kama mchakato wake huko Senate na kwa Mama Hillary wali Lobby kwa faida yao Japo ikaangukia Tz FBI ikimaliza Kazi yake tutajua,Again toa Obsession zako na Lowasaa weka Politics Aside. Unabariki kilichotokea Zanzibar!? Hauoni Uonevu wa Cybercrime Law!? haya ni masuala madogo ambayo wakusolve ni sisi wenyewe, Je tusolve kwa Gharama ya Kukosa Umeme nafuu Vijijini? what next!? Maji!? Biashara ya Kimataifa!?? Madawa!?? Teknolojia!? Ujuzi?? [emoji53]
Wait Until other Countries follow suit then utajua tofauti kati ya Marekani na Neno Jumuiya ya KimataifaAkili yako inakutuma marekani ndio kila kitu!...nimekuonyesha tu nongwa na gubu ya wamarekani...lazima pia ujue hata bujeti zao zinamapungufu na aibu ya upungufu huo huamishia afrika.
Siasa za ramli...na isipotokea?..dogo kwani wewe nyumbani mnaishi kwa msaada?..na je msaada/ombaomba ilishawahi kuondoa umaskini...tatizo mnaendesha NGOs kutegemea donors..you must act and think for them...puppets!Wait Until other Countries follow suit then utajua tofauti kati ya Marekani na Neno Jumuiya ya Kimataifa
Hivi tunapokosea mambo yetu ya ndani kimbilio pekee liwe WAFADHILI wakate misaada!? Wapinzani wa Ghadafi pia walijidanganya pia wakadhani USA ndo bwana yao, leo hata wao wanaikimbia nchi yao!MCC is a good Idea, kama mchakato wake huko Senate na kwa Mama Hillary wali Lobby kwa faida yao Japo ikaangukia Tz FBI ikimaliza Kazi yake tutajua,Again toa Obsession zako na Lowasaa weka Politics Aside. Unabariki kilichotokea Zanzibar!? Hauoni Uonevu wa Cybercrime Law!? haya ni masuala madogo ambayo wakusolve ni sisi wenyewe, Je tusolve kwa Gharama ya Kukosa Umeme nafuu Vijijini? what next!? Maji!? Biashara ya Kimataifa!?? Madawa!?? Teknolojia!? Ujuzi?? [emoji53]
TAMKO LA TYP JUU YA HATUA ILIYOFIKIWA NA BODI YA MCC KUSITISHA MISAADA YOTE NCHINI
Tanzania Youth Patriots (TYP) Imepokea kwa Masikitiko Makubwa Taarifa ya Maamuzi ambayo Bodi ya MCC Imeyafikia hivi karibuni, ni dhahiri shairi kuwa hata kama tunaweza kupata fedha za kujihudumia kwenye maeneo ambayo awali walikuwa wanatusaidia ni wazi kwamba tutatetereka kidogo hata kuweza kusimama kwa Miguu yetu miwili kwa Ukamilifu.
Ikumbukwe kuwa Sababu zilizopelekea Wahisani wetu Kufikia uamuzi huo zimetokana na Masharti ambayo yamewekwa kama Vigezo kwa Nchi Husika kutimiza ili iweze kunufaika na Hisani hiyo. Kuzingatia Demokrasia na Uhuru wa Watu kutoa Maoni Yao Nchini vimekua Chanzo Cha Wahisani Hao Kufikia Maamuzi ya Kusitisha Kabisa Msaada wote ambao ulikuwa unafikia Takribani Trillioni 1. 4 za Kitanzania.
Kwa Tafsiri iliyopo Katika Jumuiya za Kimataifa hasa Marekani na Ulaya, Sheria mpya ya Uhalifu wa Mitandao imeonekana Ikikandamiza Uhuru wa Watu kutoa Maoni Yao kwa Uwazi na Maamuzi ya ZEC Kufuta Kabisa na Kurudia Uchaguzi wote Visiwani Zanzibar pia imeonekana ni Hatua ya Kukandamiza Demokrasia kwa Wazi.
TYP inatoa Wito kwa Serikali Ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Chini ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli kuona sasa ni Aibu kwa Nchi yetu kwa Mara ya kwanza Kwenye Karne Hii ya Ishirini na Moja kuwekewa Vizuizi vya Kiuchumi ili Kusimamia Kile ambacho Dunia na Watanzania wengi kwa Ujumla wanaamini ndio Haki.Sisi Kama Taifa Huru Linaloheshimu Misingi ya Haki na Demokrasia hatutangojea Shinikizo kutoka Nje litusaidie kuchukua Maamuzi sahihi kwa Mustakabari wa Taifa Letu na Watu wake Kwa Ujumla.
Tunaitaka Serikali kupitia Wizara Husika isimamie Mara moja Marekebisho ya Sheria Hii ya Uhalifu wa Mitandao na kuwasilisha Muswaada Bungeni mapema katika Vikao Vijavyo vya Bunge ili Kusimamia Misingi ya Uhuru wa watu kutoa Maoni yao Kama tulivyowashiriki wake. Hali kadhalika, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Vyama Vya Siasa Husika na Jumuiya Mbalimbali kwa Pamoja vikae Chini kuhakikisha Suluhu ya kuleta Umoja kupitia Mchakato wa Maridhiano baina ya Pande Kuu Mbili zinazovutana unaleta Muafaka.
Ni rai yetu kuwa Serikali yetu Sikivu na yenye kutenda haki kama inavyojipambanua kupitia kwa Mh Rais John Pombe Magufuli itafanyia kazi Maoni yetu na ya wadau wengine juu ya suala hili Lililochukua taswira ya Kidiplomasia.
Imetolewa na :-
Idara ya Habari na Mahusiano
TYP Taifa.
Hopeless observations, uchaguzi umeshaisha ilihali wajinga wakijiweka kando, leo hii maridhiano yatatokea wapi tena. Wao ni hasa wabembelezwe kama mtoto mdogo aliyejisaidia kisha mama anataka amtawaze....acheni ujinga. Fanyeni kazi mjenge familia zenu na sio kujipendekeza kwa wazungu...mtapelekwa Mombasa bure shauri yenu
TAMKO LA TYP JUU YA HATUA ILIYOFIKIWA NA BODI YA MCC KUSITISHA MISAADA YOTE NCHINI
Tanzania Youth Patriots (TYP) Imepokea kwa Masikitiko Makubwa Taarifa ya Maamuzi ambayo Bodi ya MCC Imeyafikia hivi karibuni, ni dhahiri shairi kuwa hata kama tunaweza kupata fedha za kujihudumia kwenye maeneo ambayo awali walikuwa wanatusaidia ni wazi kwamba tutatetereka kidogo hata kuweza kusimama kwa Miguu yetu miwili kwa Ukamilifu.
Ikumbukwe kuwa Sababu zilizopelekea Wahisani wetu Kufikia uamuzi huo zimetokana na Masharti ambayo yamewekwa kama Vigezo kwa Nchi Husika kutimiza ili iweze kunufaika na Hisani hiyo. Kuzingatia Demokrasia na Uhuru wa Watu kutoa Maoni Yao Nchini vimekua Chanzo Cha Wahisani Hao Kufikia Maamuzi ya Kusitisha Kabisa Msaada wote ambao ulikuwa unafikia Takribani Trillioni 1. 4 za Kitanzania.
Kwa Tafsiri iliyopo Katika Jumuiya za Kimataifa hasa Marekani na Ulaya, Sheria mpya ya Uhalifu wa Mitandao imeonekana Ikikandamiza Uhuru wa Watu kutoa Maoni Yao kwa Uwazi na Maamuzi ya ZEC Kufuta Kabisa na Kurudia Uchaguzi wote Visiwani Zanzibar pia imeonekana ni Hatua ya Kukandamiza Demokrasia kwa Wazi.
TYP inatoa Wito kwa Serikali Ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Chini ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli kuona sasa ni Aibu kwa Nchi yetu kwa Mara ya kwanza Kwenye Karne Hii ya Ishirini na Moja kuwekewa Vizuizi vya Kiuchumi ili Kusimamia Kile ambacho Dunia na Watanzania wengi kwa Ujumla wanaamini ndio Haki.Sisi Kama Taifa Huru Linaloheshimu Misingi ya Haki na Demokrasia hatutangojea Shinikizo kutoka Nje litusaidie kuchukua Maamuzi sahihi kwa Mustakabari wa Taifa Letu na Watu wake Kwa Ujumla.
Tunaitaka Serikali kupitia Wizara Husika isimamie Mara moja Marekebisho ya Sheria Hii ya Uhalifu wa Mitandao na kuwasilisha Muswaada Bungeni mapema katika Vikao Vijavyo vya Bunge ili Kusimamia Misingi ya Uhuru wa watu kutoa Maoni yao Kama tulivyowashiriki wake. Hali kadhalika, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Vyama Vya Siasa Husika na Jumuiya Mbalimbali kwa Pamoja vikae Chini kuhakikisha Suluhu ya kuleta Umoja kupitia Mchakato wa Maridhiano baina ya Pande Kuu Mbili zinazovutana unaleta Muafaka.
Ni rai yetu kuwa Serikali yetu Sikivu na yenye kutenda haki kama inavyojipambanua kupitia kwa Mh Rais John Pombe Magufuli itafanyia kazi Maoni yetu na ya wadau wengine juu ya suala hili Lililochukua taswira ya Kidiplomasia.
Imetolewa na :-
Idara ya Habari na Mahusiano
TYP Taifa.
Much respect MMM! Tangu juzi nawambia watu point hiyo hiyo ya kujibebisha kwa wazungu kuomba misaada. Ndio maana Mapunga yamejaa mjini hujawahi kuona, ashakum si matusi aisee nenda Znz ukajionee mwenyewe watoto wa kiume walivyoharibiwa. Yaani kuna project ya ujenzi inafanyika Pemba, vibarua wa kubeba zege na tofali wamekosekana imebidi mkandarasi afate vijana Tanga na Dar. Wao kazi yako kukaa maskani tu kusubiri misaada toka kwa ndugu na jamaa walioko ughaibuni ambao naamini pesa wanazipata kwa kufanya kazi. Wabongo tuamke jamani, slope hazifaiHivi tunapokosea mambo yetu ya ndani kimbilio pekee liwe WAFADHILI wakate misaada!? Wapinzani wa Ghadafi pia walijidanganya pia wakadhani USA ndo bwana yao, leo hata wao wanaikimbia nchi yao!
Nasikitishwa sana na vijana ambao ni nguvu kazi ya Taifa kushabikia vijimisaada kana kwamba nao ni wazee wanaosaidiwa huko makambini!
Ndo maana huwa sishangai vijana wengi sasa hivi mmekuwa MASHOGA na WASAGAJI! Yote hii ni matokeo ya UVIVU na kupenda kupanda ndege!
Endeleeni KUBONG'OA - By MMM