- Huyu gavana wa Chicago ni a joke, ambaye huwezi mfananisha na a classman kama Pinda, Waziri wtu mkuu amekubali kua alipitiwa na emotions na facts ni kwamba toka alipotoa kauli yake mpaka alipoomba radhi hakukuwa na athari zozote zilizokwiwsha tokea as the results ya maneno yake, as opposed na gavana wa Chicago, ambaye alileta mtafaruku mkubwa sana kwa State yake kutokana na maneno na matendo yake, na hata kufikishwa kwenye sheria.
- Ni ishu mbili ambazo hazifanani, Pinda ni mstaarbu mno kulinganisha na yule joke wa Chicago. Ameomba msamaha kwangu inatosha na ni mfano kwa viongozi wetu wengine, Mtikila ameshikwa ameomba hela kwa Rostam, lakini bado anajaribu kujifanya much know!
8. Ninaifuta kwa sababu nimeapa kulinda Katiba hiyo na siyo hisia zangu binafsi.
9. Ninaifuta pia kwa sababu kama kiongozi wa serikali ni jukumu langu kutumia uwezo wangu wote na elimu yangu yote kuhakikisha taratibu na sheria zetu zinafuatwa na kila mtu, nikiwemo mimi.
10. Naomba niahidi kuwa niko tayari na nimedhamiria kuhakikisha kuwa nchi yetu inaendeshwa kwa kufuata utawala wa sheria kwa gharama yoyote ile.
11. Kama binadamu sisi sote hutekwa na hisia na wakati mwingine vionjo vyetu vinatuzidi nguvu.
12. Ndiyo ilivyokuwa kwangu na ninaomba radhi na msamaha Watanzania wenzangu kwa maneno yangu hayo ambayo kwa kiasi kikubwa yamehoji uwezo wangu wa kusimamia sheria au utawala bora.
13. Hata hivyo, endapo Bunge lako tukufu litaona kuwa sistahili kuendelea na wadhifa huu linaweza kupiga kura ya kuwa na imani au kutokuwa na imani nami.
- Mkuu haya maneno kwangu yako very clear kuwa yamesemwa na bina-adam mwenye mapungufu na asiyekamilika kama mimi, ni wajibu wangu kumuelewa kwa sababu sometimes siasa inatakiwa ifike to the dead end, ingawa pia ninaheshimu hoja yako ambayo politically ni valid sana, ila mimi Mungu wangu ninayemuabudu ananiambia inapofikia hapa hii ishu ilipo ku-drop the matter.
Thanxs!
Yes, nimemtumia Bush na rais wa China kama viongozi waliolia hadharani na hakuna aliyesema hawafai kuongoza kwa sababu wamelia.
Narudia tena Pinda kama binadamu yoyote yule ana haki ya kulia kama jambo limemuumiza au kumgusa...
Hakuna aliyemkosoa Bush kwa kulia lia kwa sababu huo ni utamaduni wao! Sisi Watanzania, viongozi na wananchi, hatuna emotional fragility za kujilizaliza ovyo hadharani tukichemsha. Pinda ndio anataka kuanza kuigaiga vitabia vya wa Magharibi. Ni ulimbukeni!
Pinda ana haki ya kulialia? Umesema haki?
Tofauti ya binadamu na mnyama pori ni kwamba binadamu ha-exercise every right they have. Mnyama akitaka kujisikia huru kuzurura nje ya pori anazurura mpaka anaingia mjini anauawa. Akitaka kula watoto wake anakula mpaka anaishiwa kizazi. Akijisikia kupandana anapanda mpaka na ndugu zake. Binadamu, tofauti na hawa, tuna exercise rights with discretion, responsibility and character. Tunatafuta kilicho right, sio tulicho na right nacho. Wewe kama raia huru una haki ya kuwa a promiscuous flake, unaweza ku exercise hiyo right bila kuoneka umepagawa? So don't tell me about having rights, tell me about being right. Okay?
Mtoto ndio analialia hadharani baada ya kukosea! Wewe na Pinda ni watu wazima sasa, hamuwezi kujilizaliza hadharani mkichemsha. Watanzania hatuna ulegevu wa hisia wa kujilizaliza hadharani kama viongozi wa Magharibi wakishikwa kwenye public debacle.
Mie nashangaa huyo Pinda anaomba hata huo msamaha wa nini, wakti alichosema ndio ukweli wenyewe na ufumbuzi pekee ulobaki wa tatizo hili!!
Binafsi suala la kuuawa kwa ma-albino linanikera sana, nina anko yangu, mkewe na watoto wanne wote ni albinos.....tukiongea kwa simu, ua ananitoa wasi kuwa mambo hayo ni huko vijijini na "tunahangaika kweli na serikali ishughulikie tatizo hili" (ni afisa flani ktk kile chama chao)!! Tatizo bado linaendelea!! Soln hapa ni kuua wanaoua ma-albino, fisadi wooote weka jela, vibaka na wezi wengine huko mitaani nao pia ni wa kuua tu....waganga wa kienyeji wanaoitisha viungo vya ma-albino nao pia ni kuwajibu mapigo kwa ncha ya upanga!! Siku wakimchinja anko yako au memba wa familia yake mtaniona kwenye nyuzi kuwa nimejibu mapigo!!! Habari ndio hiyo.
Angalia hawa walivyo shughulikiwa hapo Nairobi!! "Ati yanajifanya yenyewe ni mafala............"
[media]http://www.youtube.com/watch?v=Eb2vlsDpe3U&NR=1[/media]
Hakuna aliyemkosoa Bush kwa kulia lia kwa sababu huo ni utamaduni wao! Sisi Watanzania, viongozi na wananchi, hatuna emotional fragility za kujilizaliza ovyo hadharani tukichemsha. Pinda ndio anataka kuanza kuigaiga vitabia vya wa Magharibi. Ni ulimbukeni!
Pinda ana haki ya kulialia? Umesema haki?
Tofauti ya binadamu na mnyama pori ni kwamba binadamu ha-exercise every right they have. Mnyama akitaka kujisikia huru kuzurura nje ya pori anazurura mpaka anaingia mjini anauawa. Akitaka kula watoto wake anakula mpaka anaishiwa kizazi. Akijisikia kupandana anapanda mpaka na ndugu zake. Binadamu, tofauti na hawa, tuna exercise rights with discretion, responsibility and character. Tunatafuta kilicho right, sio tulicho na right nacho. Wewe kama raia huru una haki ya kuwa a promiscuous flake, unaweza ku exercise hiyo right bila kuoneka umepagawa? So don't tell me about having rights, tell me about being right. Okay?
Mtoto ndio analialia hadharani baada ya kukosea! Wewe na Pinda ni watu wazima sasa, hamuwezi kujilizaliza hadharani ovyo. Watanzania hatuna ulegevu wa hisia wa kujilizaliza hadharani kama viongozi wa Magharibi wakishikwa kwenye public debacle.
13. Hata hivyo, endapo Bunge lako tukufu litaona kuwa sistahili kuendelea na wadhifa huu linaweza kupiga kura ya kuwa na imani au kutokuwa na imani nami.
We Nyaniii! Mwache Kuhani labda he doesn't like girly men, ok?! BUt actually you asked a valid question why did Pinda cry? Mi naona that is the thing lingering in my mind....
Yawn!
Kwenye red hapo, unajaza bandwidth tuu.
Pole sana mkuu, I am also very sensitive to discrimination in any form, na ninafahamu ya kuwa ma-albino Tanzania wanachukuliwa kuwa zeru (yaani ghosts) na walikuwa wanasema hawazaliwi wala hawafi eti wanazuka tu na vitu kama hivyo. Tatizo ni elimu. (siyo education I mean awareness)Mambo mengine na mijitu mengine ni vyema kui-ignore kuliko kupoteza muda kujibishana nao!! Binafsi ndugu yangu akiuawa kwasababu ya viuongo vyake nitarudi bongo ku-revenge.....mie naona Pinda yupo weak kwa kuomba msamaha ktk suala kama hili!! Bongo ili isonge mbele inabidi watu waache unafiki........dawa ya tatizo hili ni kuwaua hao waganga, wateja wao na hao wajinga wanaoenda front kuua watu!!
Tatizo ni kuwa sishangai hata hii tabia ya kuua albino imetokea wapi....kukua ktk familia yenye watu wenye tatizo hili nimeona na kusikia mengi sana!! Nakumbuka wakti nikiwa form two anko yangu alikuja Moro mkutanoni (mikutano yao) na wakati huo nadhani mwenyeketi alikuwa bwenga/muhaya flani hivi ambae pia alikuwa lecturer pale IDM-Mzumbe enzi hizo!! So baada ya mkutano walikuja mitaa ya Mzumbe na anko kusema twendeni tukamcheck YNIM pale secondary.....wakaja kama ma-albino sita hivi kunitembelea, huwezi kuamini mpaka walimu wali-act kipumbavu sana!!! Nikaanza kutaniwa "tupinkere" na kwamba ktk familia yetu mie peke yangu ndio sio albino n.k!! Yaani unaona jinsi ambavyo albinos wanavyoonekana kana kwamba wao ni watu nusu.......
Ma-albino ni watu, damu zao haziwezi kuendelea kumwagika bila ya wale wakosaji kulipa......they kill my uncle, his wife or the kids, we as a family, we'll revenge!!
Mambo mengine na mijitu mengine ni vyema kui-ignore kuliko kupoteza muda kujibishana nao!! Binafsi ndugu yangu akiuawa kwasababu ya viuongo vyake nitarudi bongo ku-revenge.....mie naona Pinda yupo weak kwa kuomba msamaha ktk suala kama hili!! Bongo ili isonge mbele inabidi watu waache unafiki........dawa ya tatizo hili ni kuwaua hao waganga, wateja wao na hao wajinga wanaoenda front kuua watu!!
Tatizo ni kuwa sishangai hata hii tabia ya kuua albino imetokea wapi....kukua ktk familia yenye watu wenye tatizo hili nimeona na kusikia mengi sana!! Nakumbuka wakti nikiwa form two anko yangu alikuja Moro mkutanoni (mikutano yao) na wakati huo nadhani mwenyeketi alikuwa bwenga/muhaya flani hivi ambae pia alikuwa lecturer pale IDM-Mzumbe enzi hizo!! So baada ya mkutano walikuja mitaa ya Mzumbe na anko kusema twendeni tukamcheck YNIM pale secondary.....wakaja kama ma-albino sita hivi kunitembelea, huwezi kuamini mpaka walimu wali-act kipumbavu sana!!! Nikaanza kutaniwa "tupinkere" na kwamba ktk familia yetu mie peke yangu ndio sio albino n.k!! Yaani unaona jinsi ambavyo albinos wanavyoonekana kana kwamba wao ni watu nusu.......
Ma-albino ni watu, damu zao haziwezi kuendelea kumwagika bila ya wale wakosaji kulipa......they kill my uncle, his wife or the kids, we as a family, we'll revenge!!
Ubovu wenyewe ni kuwa "enuff with the politics," mie nshasema, tena anaishi Mwananyamala.........i dare hao pumbavu wakajaribu!!! Sheria za nchi my foot, zingekuwepo hata hili tatizo lisingekuwepo!! Ala..

Jamani nadhani tujifunze utamaduni wa kujiuzuru, kama kakili kosa basi awe tayari kuachia ngazi, kuna watanzania zaidi ya mil 40. Wapo watakaoweza ilinda katiba yetu. Asamehewe kwa sababu kakubari makosa si sababu ya kuachiwa, huyu Mh Pinda ameisha toa kauli tata nyingi mno tokea aingia madarakani....hapa sasa he should swallow the bitter pills....