utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,812
Anabinya demokrasia anayoihubiriMantiki ya kuchomoa hicho kipengele ni ili Mbowe aendelee kufaidi jasho la baba mkwe!
Anabinya demokrasia anayoihubiriMantiki ya kuchomoa hicho kipengele ni ili Mbowe aendelee kufaidi jasho la baba mkwe!
Tatizo lipi hilo mkuu. Nionavyo mimi, wananchi wapo tayari kuwapokea na kuwaamini wanasiasa wawe wa upinzani au wa ccm tatizo ni wanasiasa wenyewe, wanapoaminiwa, wanawadharau mf. Hili la chadema, km wangetumia mgogoro huu kuwafafanulia wananchi yale yanayoibuliwa na viongozi wenzao wangeendelea kuaminika zaidiNi kweli mkuu lakini kinachoisumbua ccm ni tatizo dogo sana ambalo siku wakiligundua naamini wataongoza nchi hii mpaka basi,lakini tayari naona wameanza kujifunza na hasa kutokana na presure iliyokuwa ikitolewa nachadema!!
Tatizo lipi hilo mkuu. Nionavyo mimi, wananchi wapo tayari kuwapokea na kuwaamini wanasiasa wawe wa upinzani au wa ccm tatizo ni wanasiasa wenyewe, wanapoaminiwa, wanawadharau mf. Hili la chadema, km wangetumia mgogoro huu kuwafafanulia wananchi yale yanayoibuliwa na viongozi wenzao wangeendelea kuaminika zaidi
Inaonyesha kwamba CDM mwanachama hawezi kusikilizwa kikaoni, ni vema hili suala liangaliwe (tuhuma za uchakachuwaji wa katiba) kama wewe ni kijana kama ambavyo kilio cha wanachadema ni mabadiliko ni wakati wa kupingana na vipengele tata kwenye katiba.Naona sasa MACHUYA yameanza kujitenga na MCHELE hii inaonyesha wazi huyu jamaa ni mfinyu wa Fikra na hakustahili kuwa kiongozi wa Juu ngazi ya Mkoa. Haya anayoyawasilisha yaliisha jadiliwa na ukweli uliwekwa wazi juu ya nini kilifanyika wakati ule wa kuunda katiba Mpya hii anayozungumzia ya mwaka 2004 ni katiba MFU ambayo haipo.
Sasa mbona unashinda hapa kuongelea chama dhaifu?Mngekuwa na akili mngejibu hoja za mkakati wa mabadiliko 2013, hata jamii ingewaona wa maana lakini hivi sasa nyie ni takataka afadhali ht ya UPDP ambacho hakina ht mwenyekiti wa mtaa
Inaonyesha kwamba CDM mwanachama hawezi kusikilizwa kikaoni, ni vema hili suala liangaliwe (tuhuma za uchakachuwaji wa katiba) kama wewe ni kijana kama ambavyo kilio cha wanachadema ni mabadiliko ni wakati wa kupingana na vipengele tata kwenye katiba.
Inaonyesha kwamba CDM mwanachama hawezi kusikilizwa kikaoni, ni vema hili suala liangaliwe (tuhuma za uchakachuwaji wa katiba) kama wewe ni kijana kama ambavyo kilio cha wanachadema ni mabadiliko ni wakati wa kupingana na vipengele tata kwenye katiba.
Mngekuwa na akili mngejibu hoja za mkakati wa mabadiliko 2013, hata jamii ingewaona wa maana lakini hivi sasa nyie ni takataka afadhali ht ya UPDP ambacho hakina ht mwenyekiti wa mtaa
MSUKULEDr. Slaa alijiabisha sana alipodanganya watu kuwa kipengele hicho hakijawahi kuwepo kwenye katiba. Tangu wakati huo Slaa haaminiki tena maneno yake!
Tukumbushe kidogo ufafanuzi wa jinsi gani kipengele hicho kilivoondolewa ulitolewa na nani na ulikuwaje? Jadili hoja kwa hoja na si matusi kwa binadamu mwenzioNaona sasa MACHUYA yameanza kujitenga na MCHELE hii inaonyesha wazi huyu jamaa ni mfinyu wa Fikra na hakustahili kuwa kiongozi wa Juu ngazi ya Mkoa. Haya anayoyawasilisha yaliisha jadiliwa na ukweli uliwekwa wazi juu ya nini kilifanyika wakati ule wa kuunda katiba Mpya hii anayozungumzia ya mwaka 2004 ni katiba MFU ambayo haipo.
jibu hoja na si matusihuu ni ujinga kama sio ujuha , katiba anayosema ilibadilishwa vipengele na sio kuandikwa upya , yeye anataka msajili atumie kifungu cha 5.3.2 c cha mwaka 2004 , wakati huo huo anasema katiba ya chadema kifungu cha 6.3.2 c ......kuchanganyikiwa ni kubaya sana .........atafute njia mpya ya toke vipi sio hii.....
hiki ndio kifo rasmi cha machadema