Lokissa
JF-Expert Member
- Nov 20, 2010
- 7,446
- 2,490
WanaJF naomba kuuliza kutokana na kauli Mh Membe alioitoa jana kuna uhalali wa Tanzania kumtaka Rais aliejiapisha wa Ivory Coast Mr Gabbo aondoke madarakani huku akijua wazi mshindi ni Watara na ile ishu ya Mzee wa kaya ya kuchakachua kura ktk majimbo mengi ili aonekane mshindi kuna tofauti yoyote hapo? si sawa na mmbwa mwitu kumbwekea mwezie huku wakijua wazi wote wameiba mwanakondoo wa mchungaji.naomba nawasilisha.