moto2012
JF-Expert Member
- Jul 3, 2012
- 2,271
- 1,491
Mkuu bagwell,hii si bi taarifa ya jana, then ukweli huo uko wapi,yaani (content ya thread yako ambayo itaendana na thread title)?
Kaka, huyo jamaa keshaanda watu wake utaona watakvyo comment, jana alikuwa busy kuandaa propaganda akasahau wazalendo washainyaka tangu jana! Inawezekana akawa ni mmoja wa mamluki walioshinikizwa kuoma msamaha kisiasa(short lived) wakasahau impact kitaaluma (long lived)