Tamko la Jukwaa la Wakristo mkoa wa Mbeya (TCF)

Tamko la Jukwaa la Wakristo mkoa wa Mbeya (TCF)

Status
Not open for further replies.
haya machochezi ya waislamu hayawezi kukalipiwa na serikali kwa sababu ni mradi wa serikali ya Iran wa kuwagawa watanzania kwa misingi ya kidini. Hizi cd na DVD ni pesa kutoka Iran zinaletwa nchini kuhakikisha mkristu unatukanwa mpaka uone uislkamu ni bora kuliko dini yako. serikali haiwezi kufanya lolote hapo hata tulalamike vipi.
Na Kikwete alivyo mjanja alimpalia makaa kifuani Lowassa ili aondoke, yeye apate nafasi ya kumteua mnyonge Pinda. Yaani Pinda ni kama mkokoteni tu, unasukumwa kuelekea kokote na kupitishwa kokote. Anajitwisha laana na manung'uniko asiyostahili, cheo cha uwaziri mkuu si size ya Pinda kabisa. Lile koti limemvuka.
 
Hivi ukimkuta kichaa na mwenye akili timamu wanabishana na kugombana si utajua wote ni vichaa? tatizo sio uislamu wala ukristo kwani dini zote hizi zinaongozwa na misaafu inayolenga kuleta na kukuza haki, amani na upendo toka enzi na enzi. Tatizo ni mijitu inayojifanya ni waumini wakati siyo, hayajui maandiko yanawaelekeza nini, siku zote yemebakia majina tu kuonyesha kuwa ni waamini kumbe siyo. Uislamu na Ukristo ni dini za amani ndugu zangu, siyo dini za matamko, wala za tume, wala kisasi. Aliye muumini wa dhati ayazingatie hayo kwa kufanya toba ya dhati na kuomba rehema za Mwenyezi Mungu zitawale ktk nchi yetu.
 
imagesb.jpgapa tumeanza na lebo razima mtupe sisi
 
ndiko alitutufikisha baba rizzzzzzzzzzzz halafu na sisi tumekubali kufikishwa hapa. kama hatutakubali kubadilika tusubiri kufikishwa pabaya zaidi.
ila hatujachelewa tukiamua tunaweza.
 
watuambie lini tunarudisha hizo kadi za ccm?

Zinatujazia makaratasi tu....
 
Afadhali mimi sio mwanajeshi...wa cheo cha juu!maana ningelishalianzisha tangu mwaka 2007 au 2008 pale Fastjet alipopoteza mwelekeo kabisa!ile ya kusema tumvumilie ndio imetufikisha hapa!Makamba na JK wameharibu nchi yaliyotabiriwa yametimia sasa...udini wao sasa unafumuka kwa kasi!jeshi la msaada limeshakolea na tayari kwa kazi!JK aliogopa bomu la chama lisimpasukie sasa la nchi zima kujitenga na kukatika vipande vya udini vimemkuta!historia mbaya sana ameacha!!haitafutika milele
 
Kumekucha wakristo tujilinde wenyewe maana kuvumiliana kumefika mwisho. Hawa Jamaa watatumaliza ebu Wakristo tuchukue hatua sahihi maana upole wetu wanautumia kama udhaifu. Watawala wamefunga ndoa na wauaji wenye mlengo wa Kidini sasa basi....twende safari wenzetu walishaianza siku nyingi bila sisi kujua. Watawala wanasema wakristo kuweni na uvumilivu wakifika kwa hawa Jamaa wanapongezana na kusema goodjob...Hapana enough is enough tujilinde wenyewe serikali inajua kinachoendea...
 
Tamko zuri, ikiwa serikali na utawala wa Kikwete watakuwa makini watalifanyia kazi. Vinginevyo ccm lazima ionekane na sura ya Kiislamu.
 
Dr Slaa ulisema nchi haitatawalika, tunayaona, malipo ya wizi wa kura ndio haya. JK is a total failure, hata mfanye nn hii nchi kamwe haitapata kuwa ya kiislamu
 
Mi hilo la kuchinja waendelee nalo tu jamani, hawa ni wafanyakazi wetu, sisi ni watoto wa the Most High so sioni shaka suala la kuasidiwa kuchijna ila walinikera sana juzi walivyokataa kuchinja kitimoto peke yake kule Geita

Tatizo siyo kuchinja MKUU. Tatizo wanapodai kuchunja kwao ni sehemu ya IBADA ya Kiislam. Je sisi walaji (WAKRISTO) wa nyama hivo nasi tumeshiriki ibada ya KIISLAMU?
 
viongozi wenyewe wa dini wanazidi kuuchochea udini hivi unafikiri wakishakamata masheikh na waislamu nao watakubali haya jamani tunasubiri kuona
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom