Tamko la Jukwaa la Wakristo mkoa wa Mbeya (TCF)

Tamko la Jukwaa la Wakristo mkoa wa Mbeya (TCF)

Status
Not open for further replies.
Sikujua kama kweli unaitwa kichwa mbovu huna akili dogo fikra zako finyu huna la kufikiri.
 
Sikujua kama kweli unaitwa kichwa mbovu huna akili dogo fikra zako finyu huna la kufikiri.

Jakaya lazima awatetee waislam mana ndo waliomwingiza Ikulu kwa lengo maalum mwenye akili anajua ilo. Lq mcngi hapa wakristo tucpuuze kumwomba Mungu kwa machoz sana ili atupe haki yetu kwan katiba imevunjwa kwa UPENDELEO wa wazi wazi
 
Sijaelewa wakuu! Tatizo hapa ni nini? Katiba imevunjwa kivp? Tamko lilokje in its totality?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hivi ukimkuta kichaa na mwenye akili timamu wanabishana na kugombana si utajua wote ni vichaa? tatizo sio uislamu wala ukristo kwani dini zote hizi zinaongozwa na misaafu inayolenga kuleta na kukuza haki, amani na upendo toka enzi na enzi. Tatizo ni mijitu inayojifanya ni waumini wakati siyo, hayajui maandiko yanawaelekeza nini, siku zote yemebakia majina tu kuonyesha kuwa ni waamini kumbe siyo. Uislamu na Ukristo ni dini za amani ndugu zangu, siyo dini za matamko, wala za tume, wala kisasi. Aliye muumini wa dhati ayazingatie hayo kwa kufanya toba ya dhati na kuomba rehema za Mwenyezi Mungu zitawale ktk nchi yetu.

Alafu huyu shekh Ilunga amezungumza kama muumini ama kama imam lakini mbona hawa jamaa wa mbeyawamezungumza kama Jukwaa? . Mbona kuna watu kama Simbaulanga na wenzake ambao wanaeleweka kwa kupinga na kutoa kashfa dhidi ya waislam mbona Bakwata hawajatoa tamko! wameshindwa nini kufungua kesi mahakamani ya uchochezi dhidi ya ilunga ! hawaoni kwamba wao wanachochea zaidi?
 
Kichwa Mbovu, ni dhahiri kuchinja, kuua na ugomvi ni asili ya imani yenu ya ki-islam. Jiulize kwa nini sehemu yoyote mlipo huwa hamna amani na siku zote panafuka moshi? Hivyo basi nimeanza kupata sababu kwa nini nchi za magharibi hasa Marekani hutenga mabilioni ya shillingi ili kukabiliana na watu msiokuwa na utu kama wewe kichwa mbovu. Ni vyema tukubaliane "Waislam ni more than a problem kote ulimwenguni". Mtashindana nasi lakini hamta shinda kamwe.

Ndio hata kule Rwanda, DRC, VIETNAM, kote huko waslam ndio chanzo, hata pale Uganda Kibwetele aliwachinja waumini wake kwa sababu alipata maagizo kutoka kwa shekh Ilunga , hongera sana unajua sana kuunganisha dots mkuu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom