Punainen
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 1,304
- 1,056
!!!You know what Kikwete anahusika na Ufisadi wote unaotokea Tanzania kuanzia urais wake alivyoupata hadi kufika hapa kwenye hazina zote za ufisadi, Meremeta, EPA, Richmonduli and everything. Sasa baada ya kuona Watanzania walipa kodi wanamuona yeye ndiye Fisadi papa nambari moja ananza kutapatapa. Aliambiwa tangu alifu Salva sio Mtanzania akabisha sasa angalia yatakayotokea, aliambiwa usimpe EL uwaziri mkuu akabisha. Tena akaonywa vikali achana na RA na Chenge akabisha akaambiwa huyu Mramba pia ni tapeli akabisha na uwaziri akampa. Tena hata yule muuaji aliyeteketeza watoto na shirika lake la NSSF bado anachekacheka naye tu.
Sijaona rais idiot kama huyu, hata mzee rukhsa pamoja na mapungufu yake hakuweza kutunza mizoga. Amejaza vichaa wanaoangalia matumbo yao kila kona.