Gwalihenzi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2011
- 5,125
- 1,301
At first i took you to be intelligent, truly i was wrong! You are deadly a selfish imbecile i have never come across. Kwa hiyo kwako wewe wanao stahili kudai haki zao kutoka kwa muajili ni madaktari tu, Walimu hawana matatizo kuliko madaktari! kweli kwa mijitu ya nmna yenu hamstahili heshima yoyote. Na ndio maana mulihujumu hata madai halali ya watumishi waadilifu wa afya kwa ulafi na tamaa zenu!mkoba ni mnafiki mno.
Walimu wanatumika kuzima madai ya madaktari
Hivi mbona CWT hawatupatii gawio linalotokana na vitega uchumi vilivyotokana na michango yetu?
wakati huo wewe mwenyewe umejificha nyuma ya monitor...eti uoga kitu kibaya!Duuuuuuh! Kweli uoga ni kitu kibaya!
wakati huo wewe mwenyewe umejificha nyuma ya monitor...eti uoga kitu kibaya!
lazima msitishe mgomo! yaani mnataka VIJIPOSHO VYA WAHESHIMIWA WABUNGE Vilipie mishahara yenu? yaani nyie wapuuzi mnataka vibilioni 15 vya viJisambusa vyetu viingie kwenye posho zenu za eti ualimu wa sayansi! nyie washenzi mnataka vile vi-tax holiday vinavyotujengea angalau vijumba vya uzeeni tuvidai ili mlipwe eti posho za mazingira magumu! Nyooooo! Mnataka vijisenti vyetu vya epa? Pumbavu nyie na msingesitisha mgomo TUNGEWAULIMBOKA DABODABO!!!!