Daaah.. CHADEMA ni moto wa kuotea mbaya. These guyz are so smart indeed.
Haya maelezo meeeeengi hayaondoi content ya video ya lwakatare
Haya maelezo meeeeengi hayaondoi content ya video ya lwakatare
Chadema inaelekea kusambaratika. It's time tu
Bungeni mbona unaandika vitu kw pressure?
muda ndo ushafika, kila kitu kinakuwa hadharani!
Sasa ndugu zangu wa CDM, mmeshaanika mchele kwenye kuku wengi mnatarajia mkute hizo kumbukumbu za mawasiliano ya hao jamaa zikiwasubiri? Hamjui ya kwamba fedha ni mwanaharamu?
Mkuu bluetooth,
Nilichoweka ndicho CHADEMA walichosoma. Nimewaomba mods wazingatie ethics za uandishi, wanisaidie kuondoa # za simu
Kuna kitu tunaweza kujifunza hapa. Katika hivi vinchi vyetu vya kipuuzi ambavyo watawala wanahubiri hivi lakini wanatenda vile; wanahubiri demokrasia lakini wanatenda ufashisti; kuanzisha chama cha siasa unahitaji pia kuwekeza sana kwenye system bila hivyo sahau.
Nadhani kwa kipindi kirefu ambacho hawakujishughulisha sana "kukimbilia" Ikulu hawa Chadema waliamua kwanza kuwekeza kwenye system na ndiyo inayo payback hivi leo.
Siasa katika haya mataifa masikini inahitaji akili ya hali ya juu badala ya kutegemea hisani ya watawala unless mnataka kuwa wasindikizaji tu bila vision au mission yoyote. Sio utani Chadema wana vichwa! Duh!
Duh! Kizunguzungu,naihurumia sana chadema lakini Mungu awalinde zidi ya genge hili kubwa la wahuni kutoka ikulu.
Zimeshadakwa ila mahakamna inatakiwa izidai kwa taratibu za kimahakamaSasa ndugu zangu wa CDM, mmeshaanika mchele kwenye kuku wengi mnatarajia mkute hizo kumbukumbu za mawasiliano ya hao jamaa zikiwasubiri? Hamjui ya kwamba fedha ni mwanaharamu?
Katafute piriton. Leo wallahi hupati usingz bila ya hivyo vidonge. CDM Haturembi mwandiko ila sms delivered and seen by magambaz