Tamko la CHADEMA - Aprili 14, 2013

Status
Not open for further replies.
mm nachoshwa na uwepo wa namba ya zitto kwenye hiyo taarifa ambapo tunaambiwa anatumia mkuu wa usalama wa taifa
 
Yeah ! Haya mambo niliyategemea , bado Kidogo mno kila kitu kitakuwa wazi kabisa , Aibu kubwa kuwakumba baadhi ya watu hapa Tz , Mungu hawezi hata kidogo kumficha Mnafiki .

Yeah. Hata magaidi , mafisadi na washenzi wanamtegemea mungu unayemsema.
 
Basi si wangetulia ili ukweli ujidhihiri kuwa hawana hatia au Lwaka hana hatia? Kwa nini wanaendelea kuhangaika kutoa maelezo kuanzia bungeni hadi kwenye press


unajua chadema walisha kaa kimya na walikuwa wanafanya uchunguzi wao kimyakimya, ila sababu ccm wanaendleza hilo zogo la kuchafua cdma hvyo ndo maana wameamua kutoa hizo detail na hii ni kufanya wajue kuwa kuna ushahidi wa kutosha.
 
Mkuu kama umesoma hiyo taarifa ya Kamanda Mabere Marando mwanasheria Mkuu wa serikali 2015 utagundua kuwa tayari hizo taarifa za masilianao ya simu anazo mkononi,hivyo hata kama watafuta ni kujidanganya tu.
a j wa nchi dogo mbona mna mambo mengi kes haijaisha mnaleta vihere here na sugu awe waziri wa michezo
 
tulia.....vuta pumzi.....shusha mapigo yako ya moyo....then sema ulichotaka kusema ili ueleweke. Sio unaongea km unakimbizwa

mi nimetulia sana kuliko unavyodhani rai yangu ni kwamba malando muongo tena sana make hizi namba ukicheki na m-pesa kuna namba ambayo anadai ya zoka inasoma zito na zingine zinasoma majina tofauti kabisa kwa nini huyu mzee anakuwa muongo kiasi hiki au huyu zito wanamtakia nini ndani ya chadema,pengine malando hakustaafu vizuri kwa hiyo ni hasira tu kwa kustaafu bila maandalizi sasa analalama tu bila mashiko.
 
Mungu pamoja na CDM, kesho yule anayeharishia mdomoni mwenye pua ya watoto na hajui familia yake, Nape, ataharishia mdomoni!
 
Je watapata hizo taarifa? Hapo ndipo ngoma ilipo

mpaka wanasema hvyo ujue CDM tayari wanazo taarifa zote za no. zote hzo za simu. hvyo wanawambia kuwa wasije wakafikhria walichokifanya ni kizuri kwao na ni kidogo kumbe wametengeneza ishu zito tena ya kigaidi ambayo wanatakiwa kujibia.
 
Usalama wa taifa inabidi watambue kwamba wao ni USALAMA WA TAIFA Na si usalama wa ccm. Watambue kwamba wataheshimika na wananchi kwa kulinda usalama wa nchi yetu na si kwa kuilinda ccm Na mfumo wake Wa kifisadi
 

This crack was surprisingly easy. Ready? Ok. Run the program.


Press CTRL-D to go into Softice.

Now, we want to set a breakpoint. Let's try bpx GetOBR (that is what the program uses, actually).

Type X to return to the program.
Click on "OK".

Bang! We are now in Softice at the start of USER32!GetWindowMWIGULU.

CHADEMA we have cracked mwigulu, we are the guru of reverse engineering.
 
Any thing you can DO I can do it better I am the toughest-By the late Peter Tosh.
Ukweli ni kwamba CHADEMA ni kiboko ya CCM na ndio maana kila siku kuwazushia jambo,Mara ukabila mara udini na sasa hivi single ya Mchemba ya Ugaidi.
CCM YOU ARE FINISHED- R.I.P
 

we bwana, hebu ondoa harufu yako mbaya, kwn marando haijui
 
Naona mwigulu anaiua chadema aise. Huyu dogo alisema ipo siku mtamjua yuko makini
 
jipange tena huo muhanga utajitoa mwenyewe kwa kutojua matakwa ya wanasiasa unao watetea hivi unalipwa sh ngapi kwa hii kazi ya kutetea magaid

mpaka unakosa cha kuandika, gaidi ni kikwete,riz1,mwigulu,ikuluna wa huni wenu usalama wa ccm ambao ndiyo waandaji wa hiyo sinema..
 
Mfumo Wa vyama vingi upo kisheria. Na kama CCM imeshindwa kuleta maendeleo ya nchi pamoja Na nchi yetu kuwa Na rasilimali lukuki basi wananchi wanayo haki ya kuwaondoa madarakani kwa njia ya kura Na kuweka chama kingine kitakacholeta maendeleo ya wananchi wote badala ya rasilimali za nchi kuneemesha wachache.

Mbinu hizi za kutumia ugaidi ili kujinusuru Au kupata huruma ya wananchi italiangamiza taifa!
 
unajua chadema walisha kaa kimya na walikuwa wanafanya uchunguzi wao kimyakimya, ila sababu ccm wanaendleza hilo zogo la kuchafua cdma hvyo ndo maana wameamua kutoa hizo detail na hii ni kufanya wajue kuwa kuna ushahidi wa kutosha.

Details zinaonesha namna ya kurekodiwa ila kupanga kuko pale pale hawajatoa majibu ya issue aliyosema mwi gulua
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…