Na Pengo alikuwepo? Na mkiambiwa yuko nyuma yake mteule wenu kipenzi chenu muumini wenu mtakatifu JPM mtasemaje?
Mkuu gwajima ni mtu moja lazima atoe tamko kwa haraka, kama ni TEC lazima wakae wote au Rais wao atoe tamko kwa niaba. Labda ungelaumu askofu moja moja. Halafu Gwajima katoa tamko jana na hawa nao wametoa tamko hiyo jana hebu soma vzr.mpaka gwajima awakumbushe.aibu yao hiyoo
bunge la tanzania ni "rubber stamp" ya serikali ya magufuli
Na Pengo alikuwepo? Na mkiambiwa yuko nyuma yake mteule wenu kipenzi chenu muumini wenu mtakatifu JPM mtasemaje?