Tamisemi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tamisemi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ndogoma, Jan 10, 2014.

 1. N

  Ndogoma Member

  #1
  Jan 10, 2014
  Joined: Jan 7, 2014
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  TAMISEMI, kuna nini kinaendelea uhamisho wa watumishi 2013/2014
   
 2. i

  illegal migrant JF-Expert Member

  #2
  Jan 10, 2014
  Joined: Oct 18, 2013
  Messages: 1,261
  Likes Received: 692
  Trophy Points: 280
  Wale.

  Watumishi wenye tabia korofi "miungu watu" ambao waliwahi kulalamikiwa na kukawa na ushahidi wa kimazingira kuwa utendaji wao una mushkeri....huyu mama utumishi hapa kwetu kahamishwa tunafanya booonge la party. Yaani mtu anafanya maisha yako yanakuwa magumu ukimuona roho inapiga paaaha....barua ya likizo mtu anakaa nayo mwezi ukienda kuuliza anakwambia imepotea andika nyingine ukiandika nyingine anaichukua halafu anasafiri wiki mbili anaifungua ofisini kwake, anakuwa busy na kazi ambazo zina "chajuu" fukuza wote #*?!,';:: zao
   
 3. Simphola

  Simphola Member

  #3
  Jan 10, 2014
  Joined: Jan 9, 2014
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ofisi ya waziri mkuu hiyo, wanasubiri agizo la PM
   
 4. s

  saxzu Member

  #4
  Jan 10, 2014
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  yanitunasubiri taarifa za uamisho, na hamna majibu yanayoeleka hadi sasa watutangazie basi kama mwaka huu hamna uamisho tujue
   
 5. N

  Ndogoma Member

  #5
  Jan 10, 2014
  Joined: Jan 7, 2014
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Da yani hawa jamaa hawa eleweki bora watutangazie maana tunashindwa kuazimia tunasubiri
   
Loading...