Wanaostahili ajira wamepata. Kama wewe unaona hujapata subir second selection. Au kasome maana huwez ajiriwa na stashahada yako wakat kuna watu na shahada zao wapo home. Kasome nawe upate shahada uje uajiriwe
Iache serikali itudanganye maana ni mda wao kutudanganya lakni wajue na wao mda si mda watadanganywa tena wanaona lakni bado wanadanganywa Ziro ndo zitawafundisha labda waweke division 6:::
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.