TAMISEMI: Wazidi kuwadanganya walimu wapya

TAMISEMI: Wazidi kuwadanganya walimu wapya

kimeta cha ufisadi

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2011
Posts
398
Reaction score
70
Wiki iliyo isha jana katibu mkuu wa TAMISEMI alitoa taarifa kuwa siku ya leo tar, 15 wangetangaza kwenye website yao majina ya walimu wapya pamoja na wilaya zao za kufanyia kazi, chakushangaza hadi muda huu kimya sasa sijui ofisi ya TAMISEMI bado ipo wazi au laah. Japo kuwa hii ni dharau kwa walimu kwanini wazungumze pasipo kuwa na uhakika? Hawa TAMISEMI wamekuwa na mzigo mkubwa wa watendaji wa umma ingependeza walimu wangewajibika wizara yao hiyo hiyo wa ELIMU
 
Nadhani kuna tatizo kubwa kuliko tunavyofikiri. Labda watatangaza usiku huu
 
Huenda ofisi yao haina Calendar hawa kujua kuwa tar, 15 ni siku ya mapumziko, nawashauri wangewasiliana na mzee Wasira awapatie Calendar za kutosha anazo gawa kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM Taifa.
 
Hii ndiyo serikali yetu, wacha tujivunie kuwa WATANZANIA, kuwadanganya watu zaidi ya mil. 40 si haba kwao ni fahari! japo siombi mabaya lakini ndiko hukuhuku kunakopatikana sababu za kuwamwagia viongozi TINDIKALI@
 
Wanawadharirisha walimu wetu, kama unamdanganya mwalimu kweli yeye ataacha kuwadanganya wanafunzi?
 
nadhani mngepekenya zaidi mungejua watu wenu wamepangwa wapi. mie wife wangu nishajua amepangwa anapotokea babake ridhiwani. ntaangaika kumuamisha haraka kwan uko .....
 
Acheni mambo ya kulalamika hovyo.Tangazo lilisema kuanzia tarehe 15. Kwani wiki imeisha? kwanza Leo ni mapumziko. Subirini J3.
 
Umekuwa na haraka tu ,huku wilayani majina ya ajira mpya yashafika ,kuwa na subira kidogo
Wiki iliyo isha jana katibu mkuu wa TAMISEMI alitoa taarifa kuwa siku ya leo tar, 15 wangetangaza kwenye website yao majina ya walimu wapya pamoja na wilaya zao za kufanyia kazi, chakushangaza hadi muda huu kimya sasa sijui ofisi ya TAMISEMI bado ipo wazi au laah. Japo kuwa hii ni dharau kwa walimu kwanini wazungumze pasipo kuwa na uhakika? Hawa TAMISEMI wamekuwa na mzigo mkubwa wa watendaji wa umma ingependeza walimu wangewajibika wizara yao hiyo hiyo wa ELIMU
 
..kuna jamaa yangu kaniambia mtoto wake amepangwa Mkoa wa Simiyu, hawa watu wanapataje taarifa hizi kabla ya wengine! Nadhani jambo hili.sio zuri.
 
Serikali dhaifu chini ya waziri mzigo majina ya walimu wapya yapo mtaani hakuna haja ya Katibu kutangaza kaa na confidential yako hivyo hivyo watu wameisha chukua kwa kunyonya kwenye flash.
 
..kuna jamaa yangu kaniambia mtoto wake amepangwa Mkoa wa Simiyu, hawa watu wanapataje taarifa hizi kabla ya wengine! Nadhani jambo hili.sio zuri.

Dunia sasa ni kijiji.
 
kahonge ndo mtapata mafasi, nafasi zinauzwa TAMISEMI na wizaran! ambao wanajua tayari wamenunua nafasi na kuhonga wapelekwe maeneo mazuri....nyie endeleen kukaa kama CCM utakuta ulikuwa umepangiwa pazuri then unabadilishiwa halmashauri umetupwa Nkasi, ndiyo kazi inayofanyika mda huu
 
Back
Top Bottom