Hilo zoezi la uhakiki watumishi linaisha lini exactly??? Inakera sasa
Ha hahaaa Evelyn Salt umenichekesha sana..acha kuwajambisha wenzio jamani..na sio walimu tu wanasubr Tamisemi kuna mdogo wangu nae ni afisa Habari manispaa anavyoyasubr hayo majina balaa..kasoma post yako katamani kuliaMwalimu tuliza munkari, UHAMISHO NI SEPTEMBER UNARUHISIWA KUAMINI NA KUTOAMINI
We nae unanikwaza sasa wakati Magu kishanitia kichefuchefu, tunaambiwa ni September ndo nataka kuwa ma uhakika hiyo September ni kweli au ni ahadi kama kawaida ya watu weusi kwa ahadi.... Hebu uniache bananimecheka mwenyewe wakati nasoma hii coment, we c ndo jana uliletea habari kuwa mpaka mwezi wa 9, na ukasema upo serious!! leo imekuwaje tena unauliza!!!?
Ha ha ha ha mie hata simjambishi mtu kama nitafanya hivo basi nitakua najijambisha na mie pia lolHa hahaaa Evelyn Salt umenichekesha sana..acha kuwajambisha wenzio jamani..na sio walimu tu wanasubr Tamisemi kuna mdogo wangu nae ni afisa Habari manispaa anavyoyasubr hayo majina balaa..kasoma post yako katamani kulia
Ijumaa ipi?you are just guessing,we need the truth not raising the people's heart
Mmh hiyo tamisemi ofisi za wapi huko majina yanabandikwaHuu ni upuuzi kama kuajiri watumishi wapya wanashindwa wataweza hii....afu napita hapa tamisemi wamebandika majina mnaohama....
Hapa katikati ya mji Dodoma na nilikuta notisi bodi imejaaMmh hiyo tamisemi ofisi za wapi huko majina yanabandikwa