TAMISEMI sasa waruhusu uhamisho

TAMISEMI sasa waruhusu uhamisho

Sio watumwa. Wenzio wanatibiwa kwa bima wao na familia zao. Mikopo nje nje muda wowote. Wakistaafu mamilioni ya hela kwaajili yao
1.)Bima: huitaji utumwa kupata hii. 2.)Mikopo: huitaji utumwa kuipata. 3.) 3.)Mafao: huitaji utumwa kuyapata. They are incentives to lure slaves.
 
Barua kwa watumishi... Imekuwa addressed kwa Waziri... Still inatumia email ya OWM TAMISEMI... Hata mwanangu darasa la pili anajua ni utapeli wa kipuuzi huu
 
Back
Top Bottom