Elihuruma Lwinga
Member
- Jun 3, 2014
- 63
- 68
Ndugu zangu nakumbuka hapo mwaka jana tu katika kupanga madaraja ya o level yalikua tofauti na sasa hivi. Mwaka jana kabla ndalichako hajayeuliwa kulikua na distinction nk, sasa ni division, so mwaka jana watt waliofanya necta walifaulu kwa mtindo ule akiwemo shem wangu, ambaye alikua na b moja, c moja na mengine d.
Sasa alichaguliwa kwenda form five morogoro. Cha ajabu katika majina yaliyokuja kitoka tamisemi lake lipo ila kutoka necta halijaja, SASA NAJIULIZA HAWA NECTA WANADHANI WALIKOSEA KUWAPANGIA A LEVEL AU?
Je afanyeje huyu dogo ili afanye paper mei, mwl wake kaandika barua mara mbili hivi necta na tamisemi. No jibu.