TAMISEMI: Mwanafunzi mmoja atatumia kitabu kimoja

Vyumba vya madarasa havitoshi,
Walimu hawatoshi,
Mabweni shule za sekondari hayatoshi,
Matundu ya vyoo hayatoshi,
Kiujumla miundombinu ya sekta ya elimu haitoshelezi iweje huyu Maza atudanganye na jua ☀️ kali namna hii!! Aaaaaaargh
 
Back
Top Bottom