TAMISEMI mmeruhusu siasa kufanyika mashuleni?

roadmaster

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2023
Posts
1,708
Reaction score
2,885
Najiuliza tuu, huu ni utaratibu!? Je na vyama vingine vina ruksa ya kufanya haya?

Hamuoni mtalela siasa kwenye utendaji? Mimi na chama changu Cha PPT maendeleo tutaruhusiwa?

20231216_180521.jpg
 
Safi kabisa,nikadhani kuna kampeni zinaendelea shuleni,kumbe ni eneo tofauti,mwalimu anaruhusiwa kuwa mwanachama wa chama cha siasa,ila kutokana na uelewa wetu walimu kuwa juu huwezi kuta mwalimu kajichanganya na chedema au cuf,hii ni kutokana na vyama hivi kuendeshwa ki-Saccos
 
Najiuliza tuu, huu ni utaratibu!? Je na vyama vingine vina ruksa ya kufanya haya?

Hamuoni mtalela siasa kwenye utendaji? Mimi na chama changu Cha PPT maendeleo tutaruhusiwa?

View attachment 2844181
Ingekuwa ni CHADEMA ndiyo wametoa hayo mafunzo, hao walimu wangefanyiwa majungu ya kila aina. Ila kwa sababu ni ccm, inaonekana kama ni kawaida tu kufanya hicho walichokifanya.
 
Hiyo inaruhusiwa kwa CCM tu,vyama vingine,vingewaponza hao walimu.
 
Safi kabisa,nikadhani kuna kampeni zinaendelea shuleni,kumbe ni eneo tofauti,mwalimu anaruhusiwa kuwa mwanachama wa chama cha siasa,ila kutokana na uelewa wetu walimu kuwa juu huwezi kuta mwalimu kajichanganya na chedema au cuf,hii ni kutokana na vyama hivi kuendeshwa ki-Saccos
Unajielea kweli? au ndio wale ambao wanachangia hoja kwa ushabiki
 
Back
Top Bottom