TAMISEMI mmeruhusu siasa kufanyika mashuleni?

TAMISEMI mmeruhusu siasa kufanyika mashuleni?

Wengine wakiend kupata mafunzo Cdm watafutwa kaz ?!!

Don't try at home🪑[emoji91]
 
Safi kabisa,nikadhani kuna kampeni zinaendelea shuleni,kumbe ni eneo tofauti,mwalimu anaruhusiwa kuwa mwanachama wa chama cha siasa,ila kutokana na uelewa wetu walimu kuwa juu huwezi kuta mwalimu kajichanganya na chedema au cuf,hii ni kutokana na vyama hivi kuendeshwa ki-Saccos
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom