TAMISEMI kwa hili mmezidi sana tena sana

colin_morgan

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
2,438
Reaction score
2,929
Habar zenu wakuu , baada ya mda mrefu sana kuwa kimya hapa jukwaani leo nimeona nije na haya malalamiko kidogo

Tunajua juzi tu lilitoka tangazo la waliopata nafasi katika kada mbali mbali za afya wareport kazini ndani ya sku 14

Malalamiko yangu ni kwa hawa tamisemi hivi mnapata faida gani kwa kuwapangia watu ambao wanatoka mkoa wa dar es salaam mikoa ya mbali sana vile vile na wale wa mikoa ya mbali kupangiwa either dar es salaam au mikoa karibu na dar es salaam ambayo itakua ni mbali sna na wao

Tunajua mkoa wa dar una wakaazi wengi basi ikiwa haiwezekani kwa kila mtu kupangiwa katika mkoa wake alipoombea nafasi ya ajira basi hata mikoa ya karibu pia haiwezekani hadi mnapanga mikoa ya mbali mno kimakusudi ?

Kwa mtazamo wangu kumpanga mtu mkoa anaotoka ingerahisisha mambo mengi hata ikitokea mshahara mwezi wa mwenzo umechelewa basi mtu anaweza ku survive kwani yupo ktk mazingira yake , pia ingerahisisha kwenu pia hata kupunguza kiwango cha pesa za kujikimu kwa wafanyakazi wapya

Kwa kweli kwa hili mnakatisha tamaa sana tena sana mimi mwenyewe ni muhanga wa hili

Mtu unamtoa dar unakwenda kumpangia mkoa wa mara au bukoba si kumchanganya huko unajua kajipanga vip na hizo gharama za awali ?

Wana jf hemu kama kuna mtu ni muhanga pia wa hili aje atoe mawazo yake ili atleast tujue nini tunafanya kupunguza hizi challenge ambazo zinatukabili kwa mda huu

Pia kama kuna mtu kapangiwa mkoa mwengine anataka apate mtu wa kubadilishana nae kwenda mkoa wa mara ani pm tupate kuongea zaid

Nawasilisha ....
 
Ndg nenda karipoti ajira za siku hizi kizungumkuti, shukuru kwa kupata wengine huku mtaani wanalia na kusaga meno hata hiyo nafasi hakuna
 
Kwan umelazmshwa mkuu....,acha kwenda kureport...badala ya kushukuru umepata ajira unaanza kuleta habari zako za kipuuz....na huko Mara ndo utapelekwa chimbo utataman kurud cku hiyo hiyo!!
 
Asnt ndugu kwa ushauri ila duuh ni mbali mnoooo na mm nina familia
 
Vijana Tunapenda mtelezo sana Ila Jua Unaweza Ukaenda Huko ulikopangiwa Kukawa na Opportunity nyingi za Kimaisha kuliko ulipo
Nashkuru kaka kwa kunitoa moyo ninavyoamin kijijin fursa zinakua chache kuliko mjini according to nature anyway nitafanyia kazi ushaur wako
 
Kwan umelazmshwa mkuu....,acha kwenda kureport...badala ya kushukuru umepata ajira unaanza kuleta habari zako za kipuuz....na huko Mara ndo utapelekwa chimbo utataman kurud cku hiyo hiyo!!
Nitarudi tu kaka kama sehem itakua haieleweki anyway thanks kwa mawazo yko
 
Ndgu unachotakkwa kufanya wew nenda kariport coz unaweza ukapata uhamisho baada ya kufika miaka 3 sio mingi.
 
Habar zenu wakuu , sitaki kuongea mengi ila nilikua tu naomba kwa aliechaguliwa nafasi za ajira tamisemi na hayuko tayar kureport kwa namna moja au nyengine ani pm
 
Kuna vijitu vinakera kwa nyodo! Kwahiyo wewe Kakonko unapaona mbali? Kikazi chenyewe huenda umepata Medical Attendant halafu unataka upangiwe Mloganzilla?? Nyookoooo wewe ulitaka uendelee kubaki kwa Shemeji ili uendeleee kula bure si ndiooo. Pambafuu zako nenda kajifunze maisha ni nin ndio nyodo zitaisha. Mkiwa mnalelewa ooooh sitak dagaa, ooooh nina allegy na Maharage. Puaa zakoooo utashindia rojo la Mawese akili ikukae sawa manina zako. Mpaka uanze kupata salary ni mwezi wa Tisa lazima akili ikukae sawa usijiangalia mpaka ngosha muuza maziwa atapita nawewe kwa ukata utakaokupata
 
Habar zenu wakuu , baada ya mda mrefu sana kuwa kimya hapa jukwaani leo nimeona nije na haya malalamiko kidogo

Tunajua juzi tu lilitoka tangazo la waliopata nafasi katika kada mbali mbali za afya wareport kazini ndani ya sku 14

Malalamiko yangu ni kwa hawa tamisemi hivi mnapata faida gani kwa kuwapangia watu ambao wanatoka mkoa wa dar es salaam mikoa ya mbali sana vile vile na wale wa mikoa ya mbali kupangiwa either dar es salaam au mikoa karibu na dar es salaam ambayo itakua ni mbali sna na wao

Tunajua mkoa wa dar una wakaazi wengi basi ikiwa haiwezekani kwa kila mtu kupangiwa katika mkoa wake alipoombea nafasi ya ajira basi hata mikoa ya karibu pia haiwezekani hadi mnapanga mikoa ya mbali mno kimakusudi ?

Kwa mtazamo wangu kumpanga mtu mkoa anaotoka ingerahisisha mambo mengi hata ikitokea mshahara mwezi wa mwenzo umechelewa basi mtu anaweza ku survive kwani yupo ktk mazingira yake , pia ingerahisisha kwenu pia hata kupunguza kiwango cha pesa za kujikimu kwa wafanyakazi wapya

Kwa kweli kwa hili mnakatisha tamaa sana tena sana mimi mwenyewe ni muhanga wa hili

Mtu unamtoa dar unakwenda kumpangia mkoa wa mara au bukoba si kumchanganya huko unajua kajipanga vip na hizo gharama za awali ?

Wana jf hemu kama kuna mtu ni muhanga pia wa hili aje atoe mawazo yake ili atleast tujue nini tunafanya kupunguza hizi challenge ambazo zinatukabili kwa mda huu

Pia kama kuna mtu kapangiwa mkoa mwengine anataka apate mtu wa kubadilishana nae kwenda mkoa wa mara ani pm tupate kuongea zaid

Nawasilisha ....
Nitakutumia Namba Ya Jaffo!Then Uongee Nae haya Uloandika
 
Back
Top Bottom