TAMISEMI hebu sikieni kilio chetu

shabhibhii nafwa

JF-Expert Member
Jan 8, 2015
300
148
Hivi no lini tamisemi mtakuwa waungwana hebu toeni majina ya uhamisho.

Mkuu si alisema kila kitu kirudi kwenye utaratibu wake.

mbona mwanitesa hivyo.

CCM serikali sikivu nami nisikieni


Haki inadaiwa kuhama ni in haki yangu
 
Back
Top Bottom