Tambwe Hizza: Nitagombea Urais

Jamani bangi mbaya, iendelee kupigwa marufuku na wanaovuta watengwe na jamii!!!!
 
Urais gan?? Siku hizi kuna hadi rais wa masharobaro
 
jamaa alishapataga laana pale alipomlalaga mamake kama timilizo la ahadi ya kutoka CUF kwenda CCM
 
sifa ya kugombea urais anazo, ametumka demokrasia yake vizuri

Katiba mpya itasema Rais at least awe na degree kutoka chuo accredited!Shehe Tambwe Hizza kasoma chuo gani?
 
Tanzania ipo siku hadi jiwe litagombea uraisi

Kila siku mnasema katiba katiba katiba, lkn hamjui vipengere vinavyomruhusu mtu kugombea. Hata wewe kama utaweza jipime uko huru kikatiba sasa kupata au kukosa ni matokeo ya baadae.
 
Hata panya waliomo ndani kwangu,wamesema watagombea.
 
huu uzi uliishiaga hapahapa kumbe . richard tambwe hizza nae?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…