sifa ya kugombea urais anazo, ametumka demokrasia yake vizuriAkihojiwa na Radio Pride ya Mtwara leo saa 11 jioni, Tambwe Hizza amesema ana uwezo, nguvu, afya, elimu na akili za kuwa Rais wa tano wa Tanzania.
Amesema wakati ukifika atachukua fomu.
Alipoulizwa atagombea kama mgombea binafsi kama katiba itaruhusu amejibu kwa kifupi, CCM ndo baba lao.
Mytake: URAIS UMEKUWA RAHISI
Ukichukulia ana uwezo kuliko mbowe na dr slaaAngekuwa yuko chadema sasa hivi angekuwa ameshafukuzwa. Chadema hakuna demokrasia kabisa
alishawahi kusema kuwa akihamia CCM toka upinzani basi lazima awe kalala na mama yake!
KASHAMLALA?
Akihojiwa na Radio Pride ya Mtwara leo saa 11 jioni, Tambwe Hizza amesema ana uwezo, nguvu, afya, elimu na akili za kuwa Rais wa tano wa Tanzania.
Amesema wakati ukifika atachukua fomu.
Alipoulizwa atagombea kama mgombea binafsi kama katiba itaruhusu amejibu kwa kifupi, CCM ndo baba lao.
Mytake: URAIS UMEKUWA RAHISI