Tambwe Hizza kuzikwa Jumamosi 10/02/2018 Makaburi ya Chang'ombe Temeke

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
Tambwe atazikwa kesho jumamosi Katika makaburi ya Changombe Temeke.

Shughuli za Kuaga zitaanza saa nne Kamili nyumbani Kwake Mbagala Kizuiani na ibada itafanyika hapohapo nyumbani kuanzia saa saba Kamili mchana .
 
Back
Top Bottom