Tambwe hiza ndani ya radio one live

Tambwe hiza ndani ya radio one live

Aendelee kusubiri ili azikwe pamoja na ccm yake na unafiki wake....watz wamechoka sana kusikiliza upuuzi wa watu km tambwe kwani yeye ni tambo tu.........kweli ccm imewafia wengi sana na bado wanaing'ang'ania ili wazikwe nayo
 
Anataka kurudishwa kundoni? Another chaplain kind of!
 
Kumbe naýe huwa anachungulia jf.Alichungulia utube za lusinde akitukana
 
Wakuu si bora mtune ctn muangalie tom & jerry mjichekee tu kuliko kumuangalia huyo m***** ambae ameshindwa kupata hata elimu ya kujikomboa mwenyewe kifikra,hao ndio watu waliojaa c.c.m ya sasa,unategemea nini kama sio anguko la ajabu kwa chama,Watanzania wa sasa hawataki kusikia wala kumuamini mtu yeyote toka c.c.m ameshindwa kutoa ushawishi B.W.Mkapa ndio aweze huyo kilaza Tambo Hizo
 
Tambwe Hiza msambaa hana adabu yule, samahani wasambaa kwani naongelea baadhi ya wasambaa wanaorubuniwa na chama tawala wakasahau maslahi ya wasambaa wenzao.
Tukimuuliza huyo Tambwe pale kwao Mazinde CCM imefanya nini toka miaka hiooooo na mpaka leo hii hata maji bomba yenye uhakika hawana wakati Mazinde iko bondeni na maji yote kutoka milima ya Usambara yanapitia Mazinde.
Mvua zikinyesha Mazinde hawana maji masafi bali kunywa matope.
Wakati wa jua wananchi wamekua kama ngamia.

Msambaa mwingine anaitwa Makamba
Ukiuliza huko anakotoka amefanya nini hatakupa jibu.
Kinachoonekana ni binti yake kununua jumba la kifahari kwa pesa za ufisadi.
Kiukweli msambaa aliyekua na akili nakujali wasambaa alikua Shekilango lakini hawa wasasa ni vibaraka wa mafisadi.

Samahani kama nimewakwaza baadhi ya wasambaa ambao sio vibaraka wa mafisadi.

Ndugu yao mwingine ni Shetani...



Thats all folks...
 
Back
Top Bottom