Tambua wakati mzuri wa kutafuta mwanamke wa maisha!

Wakati sahihi ni ule ambao Mungu alimpa Adam mke baada ya kumpa kazi ya kutunza bustani...Maana hapo ndio chanzo cha ndoa kilipoanzia ....
 
Habari,

Mimi nilikua nna pesa sana last year and kiukweli sijisifii ila mimi sina tabia ya umalaya sanaa kiivi na nlivyokua na pesa nlijitahid sana kupata mwanamke atakae nielwa au kunifaa kuishi nae sikupata .Japo niliingia kwenye mahusiano kadhaa lakni hayakudumu.Sasa hivi nimefulia kabisa yaan sina kitu lakin kuna msichana ananipenda sanaa na mimi nlishajua kama nlikosa kipindi nna hela sa hv ndo sipati kabisa yaani hat huyu mschna nilikutana nae kiajabu ajab na kuzoeaba nae kiajbu pia ...anasema ananipenda nashangaa imekuaje and she is very beautiful as well.Daah haya maisha lakni...acha tuuu.
 
Hayo ndo mapenzi yalivyo mkuu!,hayatabiriki.
 
Wee mamaa usitukane wanaume alaaaah!! Huna adabu nn!!!!!
 
hizo zote zinaweza kuwa ni theory tu za kibinaadam but wakati mzuri ni ule ulioachiliwa na BWANA tena kwa majira yake kwako... Omba siku zote BWANA akukutanishe na mtu sahihi...

vivide exmple ya watu sahihi
Elisha na Eliya
Musa na Yoshua
Yesu na Petro...

watu wengi huwa tunafeli ktk eneo hilo even ktk biashara pia wapo wanaolia baada ya kushirikiana na watu wasio sahihi kwao... hata ndoa wapo ambao maisha yao yalikuwa super kipind cha ubachelor after ndoa wanaishi maisha ya kutafuta ushauri wa kutatua migogoro yao daily kama wapalestina na wayahudi..
 
Huyo manz kaa naye, amekuelewa jinsi ulivyo tu
 
Mwanamke wa kunivumilia ktk shida simtaki...lawama za kuja kumsaliti mbleni sizitaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…