Tambua Vitu Mwanaume Anavyokupima ili Akujue Unafaa Kuolewa Au Ni Hit And Run !

Si kwamba anatafuta kulelewa. We utaendaje na demu shopping mall then badala ya kuhangaika na kuuliza bei za vitu vya maana anahangaika na ice cream, bisi (kwenu Masaki mnaitaga popcorn) na midoli? What the hell is she?
Sasa unataka afake? Hivyo alivyouliza ndivyo anavyopenda.
 
kwa upande wangu demu akionyesha upendo wa kweli kwangu na akawa mkweli mdomoni tu inatosha...
 
Mtoa mada sijakuelewa kabisa, labda umpate mwenye akili zinazoingia na kutoka ili afanikishe hayo yote kwa kigezo cha kupata ndoa.
 
wanakuwa na mbunye mbaya, ujue haijafiti vizuri. kama mbuye iko fresh, mtu ana adabu, mzuri, msafi, anaonyesha upendo usio wa kinafiki kwanini usiolewe? ila kama mchafu, ushachezewa sanaaa kama wewe ulivyo, mashine imeshalegea kama bablish, nani anataka mzigo huo? ujana ulikuwa na nani, nani ale makapi? katafute makapi wenzio huko.
Basi na hicho tunaomba mkiweke kwenye listi ya vigezo vyenu watu tujue hata ukiwa na tabia nzuri vipi kama mbunye sio unaachwa. Msikazanie tabia tuuu
 
Back
Top Bottom