Tambua muda wa kukaa kimya

pia watu, wakumbuke kukaa kimya kwa mada kama hizi. ikiwa hawana uwezo, ama hawatochangia vema kuboresha mada tajwa hapo juu. akina Numbisa na wengine, kuanza kuleta mambo ya likes, watu tunashindwa kusoma comments za maana zinazoletwa katika uzi. ni hayo tu
kweli nimejifunza kukaa kimya kuna faida nyingi.
 
True,ila kila kitu kina kiasi.Hata Yesu mwenyewe hakukaa kimya kiasi hiko.
Ukae kimya ili usivunje urafiki? Sasa mbona maisha ya kinafiki hayo.
Utaishia kuonekana boya.
Actually,anayefanya hayo yote ni boya.
ukisoma vzur hayo yanategemeana...kuvunja urafk kupo lkn ukiwa na facts zte za kufanya hvo...co unackia tu maneno hujaprove umeongea shit umevunja uraf mwsho wa cku unajua ni maneno ya uongo.
 
Kuna ukweli mmoja tu kuhusu ulicho kiandika..A person who can do all that u have said does not exist
 
Kaa kimya kama una kibamia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] vbamia vnahrb watu kisaikolojia utajikuta upo kmya ghfl tu...unabshana na mkeo anaropoka niondelee kibamia hapa...mkuu hyo ni mpk unakufa hutakua hujiamin
 
Com one man ..U know this is not possible!
 
Kuna ukweli mmoja tu kuhusu ulicho kiandika..A person who can do all that u have said does not exist
mkuu sio lazima ufanye vyote unaangalia tu ni muda gan na mazingira yapi yatakufanya uapply hvo vtu
 
Dumb very dumb(dvd). Kwan tumekushikia macho kusema tukuzibe kusoma comments pheeeeww
 
its possible mkuu hujawah kuongea ukiwa na hasira af bdae ukajutia ulichokiongea?
Hujanielewa bro I mean it is not possible to do all that which u have said..Nakubaliana na kilicho andikwa BT what I say it is not possible for a human being to do all that stuffs.It will take Jesus Christ of Nazareth or Prophet Muhammad Peace Be Upon Him to be able to do all that
 
tukigeneralize zote hzo linakuja neno moja "fikiri kabla ya kutenda."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…