Tambua muda wa kukaa kimya

asante sana. Hasa namba 11 ni ya kuzingatia sana.
 
Yawezekana huu ni utanzania zaidi. Ndo maana sehemu nyingi tunapigwa eg madini,escrow nk. Woga,woga,woga. Mfano kuna mtu alisema, Tanzania itaanza kuikopesha Ulaya hivi karibuni! So, kwa vile hujui ni kweli au uongo,basi tuwe kimya?
yaap kama huna ushahid bora unyamaze kama una ushahid na vielelezo vyotr paza saut
 
Leo nilikuwa sehemu... nimekaa nasubir simu yangu ipate moto ili maisha yaendelee nilikaa na mapolisi wanaongea upuuzi kuhusu uchaguzi wa kinondoni ningekaa kimyaa.hapana niliwapa elimu ya iraiya. Nipo na ndugu mmoja ofisini anaongea ujinga nimwache
unaongea lkn ucwashushie heshima
 
Maisha hayana formula, nimekuta mtu kaniibia pesa nikapandwa na hasira, kwahiyo nikae kimya kisa wewe umesema nikiwa na hasira nikae kimya? Pathetic absurdity!
una uhakika kaiba pesa kama una uhakika unaweza ongea kama hunahisi tu nyamaza
 
True,ila kila kitu kina kiasi.Hata Yesu mwenyewe hakukaa kimya kiasi hiko.
Ukae kimya ili usivunje urafiki? Sasa mbona maisha ya kinafiki hayo.
Utaishia kuonekana boya.
Actually,anayefanya hayo yote ni boya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…