Tambua moyo na ubongo wa kompyuta

Tambua moyo na ubongo wa kompyuta

tamimusalim

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
1,822
Reaction score
501
ImageUploadedByJamiiForums1411200084.191354.jpg hiki ni kifaa ambacho ukikitazama utakiona kama kitu cha kipuuzi puuzii hivi,lakini hiki ndio kifaa ambacho ninatoa mchango mkubwa katika dunia yetu,hiki kifaa ni CPU( control poccesing unit) wajuzi wa mambo ya kompyuta wanasema hiki ndio moyo na ubongo wa kompyuta,kazi zake ni organise,analyse, chart, na poccesingdata katika kompyutaImageUploadedByJamiiForums1411200481.647172.jpg wengi ukiona kifaa hiki kimefunikwa na heat sink, ila hapa kipo wazi ndivyo kilivyo pichani
 
Back
Top Bottom