Tambua maana halisi ya fedha

Elisha Chuma

JF-Expert Member
Jul 22, 2013
282
275
Dhana ya fedha haiko katika ile karatasi unayoishika yenye namba za thamani yake.

Fedha yoyote unapoikea unaenda kuitumia hata kama sio moja kwa moja lakini wewe ni mwakilishi tu wa hilo karatasi ndio maana hazina mwenyewe unaishika wewe unaitoa anaishika mwimgine.

Kama lile karatasi sio fedha basi fedha halisi iko wapi? Fedha halisi iko kichwani mwako unapoifikiria na kuishughulikia hadi kuifanikisha hapo ndio unakuwa unafedha ila ukiisha kuishika tu wewe inakuwa sio ya kwako bali mtu mwingine ndio anakuwa anaiwazia na kuishughulikia aipate.

Hivyo hakikisha kichwani mwako unatengeneza pesa nyingi bila kuchoka na jitahidi pia kuzishughulikia ukishazipata tu achana na zilizoingia sababu hata ufanyeje dhima ya pesa ni matumizi hivyo utaitumia tu.Ili kuwa katika sehemu nzuri kila siku tengeneza pesa akilini mwako.

2017 [HASHTAG]#maishanihayahaya[/HASHTAG] wa kubadilika ni wewe.
fd5887b1e5190c5ea0638c6b5f967c65.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom