Tambua aina hii ya utapeli

Tambua aina hii ya utapeli

Wewe siyo Fasouls ila ni Fool! Utapeli wa kitoto hivyo utaukubalije? Huo wanafanyiwa huko huko kijijini kwenu!

Mnamwandama bure yeye ametoa taadhari, kama mnaweza waeleza wasaidizi wenu ni vema.

Tunazidiana uelevu na ujanja.
Msaidizi wako akiibiwa ni ww ndio umeibiwa kimsingi.
 
msiseme kwamba huu ni utapeli wa kitoto, humu ndani Najua kunawatu wanatapeliwa ila hawawezi tu kusema.
 
Mnamwandama bure yeye ametoa taadhari, kama mnaweza waeleza wasaidizi wenu ni vema.

Tunazidiana uelevu na ujanja.
Msaidizi wako akiibiwa ni ww ndio umeibiwa kimsingi.

Nashukuru kwa kunisaidia
 
Hakuna ambae bado anaibiwa kishamba namna hiyo wewe
 
Hakuna ambae bado anaibiwa kishamba namna hiyo wewe

Usidharau mkuu wanakuja na ndumba,labda kama uko vizuri, ukijibu anachokisema tu,utakubali kila wanalosema
 
Usidharau mkuu wanakuja na ndumba,labda kama uko vizuri, ukijibu anachokisema tu,utakubali kila wanalosema

Nimeenda pale kwa shughuli zangu tu na cna muda wa kusaidia mimi kama anataka msaada c awaone wahusika pale
 
Wenye tamaa siku zote ndo wanaotapeliwa na sio washamba.

kweli tupu siku zote wapenda hela za bure haya yatawakuta tu.....iweje akuulize ku-change hela na wakati yupo ndani ya benki na wewe ukubali.....hapa wacha niwatupie ujumbe wa pinda "Na wapigwe tu....tumechoka"!
 
Aliyetapeliwa naye mwizi tu naye alitaka akamtapeli dola 20elf .....sema mlikutana wezi wote.... hivi kweli ingekuwa sio fake ungerudi.... hapo sio droo seti mambo kivingne.....
 
uliahidi utajenga barabara juu na chini, maisha bora kwa kila....

Mbona sasa umesepa?
 
Huo ulishapitwa na wakati jijini labda bombambili village....
 
Kama alitapeliwa hadi professor wa chuo kikuu sembuse ww. kumbuka matapeli nao ni wajanja wanajipanga hawakujii km vile wanaenda masjid.
 
Hii mada yako inatufundisha tuache TAMAA tu basi. Maana wizi wenyewe ni wa kizamani na kitoto pia. Na una mambo mengi ya kutegemea tegemea ili huo wizi ukamilike
 
jamani chukueni elimu hiyo, kuna watu wangetapeliwa kwa njia hiyo lakini wameamka, mimi tangu nitapeliwe na mtu tuliesoma nae darasa moja yaani sina hamu kumbe darasani mnaweza mkatoa majambazi, matapeli, nk kikumbwa ni kuwa makini.
 
Inaendelea.....
kwan ukienda ukirudi hutakuta mtu,
kama umeelewa gonga like..!! by mkubwa Fasouls
Like kwenye wizi wa zama za mawe?? Hata taahira hawezi tapeliwa kwa ukenge wa namna hii.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom