Tambua aina hii ya utapeli

Tambua aina hii ya utapeli

Msimpuuzie mleta mada, ujue kuna watu wengi sana bado kiza na rahisi sana kutapeliwa na hii yote sababu ya tamaa.

Bora waendelee kuamshwa mbinu tofauti tofauti ili wasijekuwa wahanga hapo baadae
 
sasa hivi utapeli umekuwa si mkubwa sana kulinganisha na wizi wa kutumia silaha unaofanyika kila kukicha mchana kweupe
 
Wenye tamaa siku zote ndo wanaotapeliwa na sio washamba.
You nailed it. tamaa ya fedha za haraka haraka. Halafu sasa eti huyo mtu anasema kabisa kaziiba hizo hela kwa wasomali na wewe upo tu??!!
 
Back
Top Bottom