Malcolm X5 JF-Expert Member Jun 3, 2013 1,637 2,747 Mar 28, 2016 #1 Kama wewe ni mwana kiungani wa tazama mbali zaidi naomba uingie hapa,tujuzane mengi zaidi
Msigazi Mkulu JF-Expert Member Dec 22, 2013 4,137 3,323 Mar 28, 2016 #2 2009 hadi 2011 nilikuwepo hapo, HKL 1
Malcolm X5 JF-Expert Member Jun 3, 2013 1,637 2,747 Mar 28, 2016 Thread starter #3 Karibu sana mkuu, kipindi hicho mlikuwa na buretta nadani kama head master
mteeq Member Sep 8, 2014 43 16 Mar 28, 2016 #5 Namkumbuka Headmaster wangu Mr Moshi RIP. Nilikuwa hapo form1 1992
Malcolm X5 JF-Expert Member Jun 3, 2013 1,637 2,747 Mar 28, 2016 Thread starter #6 Mteeq nyinyi wa zamani sana, kabla hata haijavunjwa lol kuwa a level