Tamasha la sanaa Bagamoyo lafana

Kurunzi

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
6,869
2,000
Ni wiki ya tamasha la sanaa Bagamoyo mji umechangamka wasanii toka sehemu mbalimbali ndani na nje ya nchi wameshiri ki .
Mimi na mwenzi wangu tumeamua tumalizie weekend kwaajili ya tamasha hili linalotarajiwa kufikia kilele chake hapo kesho. Tamasha hilo lifanyika kwenye chuo cha sanaa TASUBA watu ni wengi sana jambo la kufurahisha hata kwa wale watumiaji wa maji ya rangi na vinavyofana na hivyo kuna maeneo ya kujichanganya yameandaliwa kwa mambo hayo kwa bei ya uswahilini, hali ni ya kupendeza!
Karibuni.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom