Tetesi: Tamasha la Eid MUBARAK Arusha kufanyika CBD!

SSH2025_2030

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
9,661
Reaction score
9,756
Siku ya Eid El Fitr kutakua na tamasha kabambe Jijini Arusha mitaa kadhaa kufungwa Nyama, pilau, Burudani na DUA kama zote.

Asante Sana Mheshimiwa kutujali
 

Attachments

  • images (21).jpeg
    14.3 KB · Views: 23
  • images (20).jpeg
    10.7 KB · Views: 24
  • download (12).jpeg
    16.4 KB · Views: 27
  • images (19).jpeg
    59.6 KB · Views: 22
Siku ya Eid El Fitr kutakua na tamasha kabambe Jijini Arusha mitaa kadhaa kufungwa Nyama, pilau na Burudani kama zote. Asante Sana Mheshimiwa kutujali
Lisikiueke maadili ya kiislam, pasiwe na ngoma vyengine mulite tamasha lkn lisuwe la eidel fitri
 
Siku ya Eid El Fitr kutakua na tamasha kabambe Jijini Arusha mitaa kadhaa kufungwa Nyama, pilau na Burudani na DUA kama zote. Asante Sana Mheshimiwa kutujali
Ni yule msanii anayejiita mkuu wa mkoa, asiye na kazi ya kufanya bali kupumbaza watu kwa kuwarushia vipande vya nyama? Kazi kweli kweli. Watu wengine hawana huruma kabisa. Unakusanya maskini ambao wamefanywa maskini na serikali mbovu, unatupia minofu kama mbwa na kuwaambia waabudu jina la mama bila kujali umaskini wao?
 
Arusha asilimia kubwa watu wake zinafanana na hao wadudu, Makonda anatembea na vibe lao tu
 
Mkuu wa mkoa hana tatizo bali anaowaongoza ndio wenye tatizo la kiakili.
 
Hahahaha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…