Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 17,981
- 32,558
Kabisa kuna muda unashindwa kudhibiti mwili wako na hisia kwasababu ya akiliaNdio maana sheria zikawekwa kwa ajili ya kumdhibiti huyu mwanadamu la sivyo kila mmoja angesema a feed his/her ego hakika ustaarabu ungetoweka duniani
Elezea zaid theory ya Ed ego and super ego zaidi I hate half baked information.Hellow Africa
Mwili una unaushawishi mkubwa sana ambapo ukishindwa kabisa kuzizibiti mwisho wa siku una aangukia poor
Wanasayansi wanasemaga matendo yetu. Yanategemeana na vitu vitatu ID EG NA SUPER EGO hizi huwa zinavutana sana kila moja inataka ishinde mwili na akili pia zinategemana
Tamaa ya mwili inanguvu sana mwisho. Wasiku unajikuta umefanya jambo baba
Kaka jambo ""Baba""????Hellow Africa π
Mwili una unaushawishi mkubwa sana ambapo ukishindwa kabisa kuzizibiti mwisho wa siku una aangukia poor
Wanasayansi wanasemaga matendo yetu. Yanategemeana na vitu vitatu ID EG NA SUPER EGO hizi huwa zinavutana sana kila moja inataka ishinde mwili na akili pia zinategemana
Tamaa ya mwili inanguvu sana mwisho. Wasiku unajikuta umefanya jambo baba π
Id, ego na superego hufanya kazi pamoja kuunda tabia ya mwanadamu. Kitambulisho huunda mahitaji, ubinafsi huongeza mahitaji ya ukweli, na superego huongeza maadili kwa hatua inayochukuliwa.Elezea zaid theory ya Ed ego and super ego zaidi I hate half baked information.
Kuna mahali hata kwenye biblia sikumbuki ni wapi huo mstari upo . Ila unasema kwamba mwili huwa ni adui wa Mungu . Kwa maana ya kwamba una tabia ya kushindana na sheria za Mungu mwenyeweKabisa kuna muda unashindwa kudhibiti mwili wako na hisia kwasababu ya akilia
Jambo afandeKaka jambo ""Baba""????
I'll ngumu sanaKuna mahali hata kwenye biblia sikumbuki ni wapi huo mstari upo . Ila unasema kwamba mwili huwa ni adui wa Mungu . Kwa maana ya kwamba una tabia ya kushindana na sheria za Mungu mwenyewe. Sema naona mtu kama anaweza kuudhibiti mwili Kuna probability kubwa sana ya kuishi muda mrefu . Mfano mzuri jaribu kuwaangalia wale monks wa kule nchi za mashariki ya mbali Kama china na Japan
The id, ego, and superego can be developed or changed over time through various experiences and life events.Elezea zaid theory ya Ed ego and super ego zaidi I hate half baked information.
Mimi nilicho fundishwa ni hivi Id, is the primitive behaviour of man greediness nk, while ego is the positive part of man vizavie I'd then super ego put the balance between the two, and get a balanced behaved man.........am I correct sir?Id, ego na superego hufanya kazi pamoja kuunda tabia ya mwanadamu. Kitambulisho huunda mahitaji, ubinafsi huongeza mahitaji ya ukweli, na superego huongeza maadili kwa hatua inayochukuliwa.
Ingawa kila moja ya vipengele hivi vinaunda tabia ya binadamu, pia vinajumuisha baadhi ya wahusika tunaowapenda
Mention principle zakeMimi nilicho fundishwa ni hivi Id, is the primitive behaviour of man greediness nk, while ego is the positive part of man vizavie I'd then super ego put the balance between the two, and get a balanced behaved man.........am I correct sir?
Which principles sir? naomba unikumbushe kwa kunipa mfano ndo nikutajie zingine.Mention principle zake
I'd ina reality eg under pressure na eg ina hoji yenyewe inapingana na eg na idWhich principles sir? naomba unikumbushe kwa kunipa mfano ndo nikutajie zingine.
Kaushaaaaaπππππ€£π€£π€£Jambo afande
Aahhahqh acha zako jambo afandeKaushaaaaaπππππ€£π€£π€£
Picha?Hellow Africa π
Mwili una unaushawishi mkubwa sana ambapo ukishindwa kabisa kuzizibiti mwisho wa siku una aangukia poor
Wanasayansi wanasemaga matendo yetu. Yanategemeana na vitu vitatu ID EG NA SUPER EGO hizi huwa zinavutana sana kila moja inataka ishinde mwili na akili pia zinategemana
Tamaa ya mwili inanguvu sana mwisho. Wasiku unajikuta umefanya jambo baba π
Ahahaha acha zako.picha si.iyo.dpPicha?
Afadhali umerudisha hii avatar yako ya awali.Kabisa kuna muda unashindwa kudhibiti mwili wako na hisia kwasababu ya akilia