Tamaa ya ngono noumer!!

Tamaa ya ngono noumer!!

Joined
Mar 21, 2012
Posts
20
Reaction score
14
Dogo wa A-level alikuwa
anapenda mademu kinyamaa lakini
gundu. Ikawa tabu kwake. Juzi usiku
kamatokea Malaika akamwambia
amuombe anachotaka ataampa. Dogo
akamwambia anataka demu. Malaika akamwambia "Kama ni muislamu
nitakupa Latifa wa form 2B, kama
mkiristo nitakupa Suzy wa Form 3A na
kama baniani nitakupa Sanjeeta wa
Form 4D." Halafu akamuuliza " KWani
Kijana unaitwa nani?". Dogo akamjibu, "ALI MICHAEL PATEL" --booom!
 
Mshenzy huyu,anamaanisha anawataka wote,muislam,mkristo na banyan!
 
mmmmmmhh! ndio maana wanaume wanaweza owa wake wengi!
 
Aaah, kalamba moto! Kwan jina lake c Ali la babake c Michael na hilo lingind c la ukoo bac atapewa Latifa wa 4m 2B
 
[h=2]noumer ndio neno gani hili jamani au ndo noma?[/h]
Fred-el Suárez;3728384 said:
Dogo wa A-level alikuwa
anapenda mademu kinyamaa lakini
gundu. Ikawa tabu kwake. Juzi usiku
kamatokea Malaika akamwambia
amuombe anachotaka ataampa. Dogo
akamwambia anataka demu. Malaika akamwambia "Kama ni muislamu
nitakupa Latifa wa form 2B, kama
mkiristo nitakupa Suzy wa Form 3A na
kama baniani nitakupa Sanjeeta wa
Form 4D." Halafu akamuuliza " KWani
Kijana unaitwa nani?". Dogo akamjibu, "ALI MICHAEL PATEL" --booom!
 
Fred-el Suárez;3728384 said:
Dogo wa A-level alikuwa
anapenda mademu kinyamaa lakini
gundu. Ikawa tabu kwake. Juzi usiku
kamatokea Malaika akamwambia
amuombe anachotaka ataampa. Dogo
akamwambia anataka demu. Malaika akamwambia "Kama ni muislamu
nitakupa Latifa wa form 2B, kama
mkiristo nitakupa Suzy wa Form 3A na
kama baniani nitakupa Sanjeeta wa
Form 4D." Halafu akamuuliza " KWani
Kijana unaitwa nani?". Dogo akamjibu, "ALI MICHAEL PATEL" --booom!

apewe wote jaman
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom