CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,997
Habari zenyu binafsiiiiiiiiiiiii...............??????????
Dada mmoja kwa jina SIWEMA alikutana na kaka mmoja kwa jinaFIKIRI. Wawili hao walianzisha mahusiano na baada ya muda mrefu wakaamua kuwawachumba.. . Walitambulishana kwa wazazi wa pande mbili, ikabaki hatua yakupeleka mahari na kufunga ndoa.. (Kama kawa majina na mahali sio halisi)
Siwema alikuwa anafanya kazi katika Mkoani Mwanza.Fikiri alikuwa anafanya katika Kampunifulani Jijini Dar Es Salaam. Walionana kila baada ya muda fulani, aidha Siwemakumfuata Fikiri DSM ama Fikiri kumfuata Siwema Geita. Siku moja katika pekuapekua kwenye magazeti ya Udaku ya enzi hizo Nahisi ilikuwa gazeti la SANI.LAHAULAAAAAA LAKWATA .. Siwema hakuamini macho yake baada ya kuona jina lampenziwe katika Safu ya kutafuta wachumba. Fikiri alituma maombi ya kutafutamchumba kwa njia ya gazeti.
Fikiri alijitambulisha kwa jina lake na kuwa anatafutamchumba popote Tanzania, kisha akaacha namba ya simu kwa mawasiliano zaidi. Baadaya Siwema kuona lile tangazo alikuchukua ile namba ya kuanza kuwasiliana namtuma maombi, Siwema alitumia namba nyingine tofauti na namba yake, aliwasilianaFikiri pasipo Fikiri kufahamu kuwa anawasiliana na Siwema. Alipiga ile namba naikapokelewa na Fikiri, kwa kuwa alikuwa anafahamu sauti ya mchumbaake haikuwakazi ngumu kuitambua. Akaanza kwautambulisho Naitwa Zawadi, nafanya kazi Kampuni ya madini iliyopo Mkoani Geitaalmaarufu kama Geita Gold Mining Ltd(GGM), nimeona maombi yako ya kutafuta mchumba katika gazeti fulani, nahisininakidhi vigezo.
Fikiri alimjibu ndio na wakaendelea kuwasiliana kamakawaida, ilifika wakati Fikiri alikuwa na safari ya kikazi Mkoani Shinyanga,kwa vile Shinyanga ni jirani na Mwanza, hakusita kupanga appointment ya kuonanana mchumba mpya Zawadi Basi akawasiliana na Zawadi kisha wakapanga kukutanaJijini Mwanza. Zawadi alikubali na kumwambia hivi, Kwa kuwa utafika Mwanzausiku ufikapo fika Hotel fulani ambapo sisi wafanyakazi wa GGM huwa tunafikia,nitafanya mawasiliano na mhudumu atakuandalia chumba na kukuhudumia kilautakacho na gharama zote ni juu yangu. Siwema Zawadi aliongea na mhudumu waHotel fulani na kumpa full mkanda na mgeni huyo akifika afanye kamaatakavyomualekeza. Fikiri akaona bonge la zaliiiiiiiiiiiiiiii .
Mwanaume huyoooooooo safari ikaanza toka DSM mpaka Mwanzakisha ndipo atarudi Shinyanga kufanya kazi iliyokuwa inampeleka huko makealikuwa na hamu sana ya kumuona mchumba mpya, kwa ahadi kemkem walizokuwawameahidiana. Basi akafika JIjini Mwanza majira ya saa tano usiku, akaenda mojakwa moja kama alivyoelekezwa. Kwa vile Siwema Zawadi anaishi Jijini Mwanzahakuwa na haraka ya kwenda mahali ambapo alimuelekeza Fikiri kufikia.
Basi Fikiri akafika na akakuta maagizo kama alivyoelekezwana Zawadi, Kesho yake mapema asubuhi Siwema Zawadi akaamkia hotelini hapo,alivalia hijabu na miwani ili kubadili muonekano wake wa nje, alipofikaakaingia moja kwa moja katika chumba alichofikia mgeni wake. YAAAAALAAAAAHHHHHhakuamini macho yake kama mchumba wake Fikiri ameamua kumsaliti na kufungasafari mpaka Mwanza kwa ajili ya kuonana na mchumba wa gazetini. Baada yakufika akamsalimia, kabla Fikiri hajastuka Siwema Zawadi alitoa ile miwani nakufungua ushungi ndipo Fikiri alistuka na kutaka kuzimia . Fikiri alipigamagoti na kumuomba Siwema msamaha huku machozi yakitiririka lakini Siwemaalikuwa na msimamo na kumwambia hapo ndio mwisho wa uchumba wao.
Siwema aliwasiliana na ndugu zake Fikiri na kuwaelezakilichotokea na nia ya kuvunja uchumba huo. Vikao vilikaa ili kusuluhisha lakiniSiwema alikuwa na msimamo. Uchumba ulivunjika na Fikiri aliondoka kurudi zake,sidhani kama hata ile kazi ya Shinyanga ilifanyika tena.
Mwanaume jiweke katika nafasi na FIKIRI, Mwanamke jiwekakatika nafasi ya SIWEMA kisha utoea maoni yako!!!!!!!!!!!!!
Poleni kwa kuwachosha eeeeeeehhhhhh!!!!!!!!!