Tamaa Mbaya

Chibudee

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
1,775
2,400
TAMAA MBAYA

Jamaa kaenda kwa mke wa rafiki yake:

JAMAA: Shem nakupenda!

MKE: Hebu toka hapa! Je rafiki
yako akijua? tena koma!

JAMAA: Ntakupa milioni 1!

MKE: Basi njoo kesho mchana
mume wangu akiwa kazini!
Kesho yake Jamaa kaja
na milioni 1 wakamalizana na mke wa rafki yake,

jioni ilipofika
Mume akarudi home na
kumuuliza Mkewe, "Rafki yangu SAM kaleta hela yangu milioni 1?"

MKE akajibu kwa unyonge, "Ndio!"

MUME: Yes! Ndio maana nampenda SAM kanikopa asubuhi jioni karejesha!!!!

Mke hoi mzgo umeliwa bure......! kweli heshima pesa ndoa Vigelegele.
 
Back
Top Bottom