Kila mbuzi ………..Natumaini tuko poa wabongo tuache roho mbaya nipo godown la mbaazi kama karani kwa wachina unakuta mchina analipa kila gari kushusha mzigo 150k mbongo mwenzako kisa yeye salange anawalipa wenzake kila gari 50k inaumiza sana
PoleniNatumaini tuko poa wabongo tuache roho mbaya nipo godown la mbaazi kama karani kwa wachina unakuta mchina analipa kila gari kushusha mzigo 150k mbongo mwenzako kisa yeye salange anawalipa wenzake kila gari 50k inaumiza sana
Nenda sehemu husika toa malalamikoSiyo kwa gap ilo tena kwa mtu anayevuja jasho yeye anazunguka zunguka2 godown alafu unataka uwapige watu
Pambana na wewe uipate kazi yakeSiyo kwa gap ilo tena kwa mtu anayevuja jasho yeye anazunguka zunguka2 godown alafu unataka uwapige watu
100K inaipigaNacholalamika anawanyonya wabebaji kwa mimi hanibani maana mimi karani nalipwa na mchina direct haipitii kwake ila kwa makuli wao ndo inapita kwenye mikono yake
Umehakikisha taarifa zako au ni udaku tu?Natumaini tuko poa wabongo tuache roho mbaya nipo godown la mbaazi kama karani kwa wachina
Unakuta mchina analipa kila gari kushusha mzigo 150k mbongo mwenzako kisa yeye salange anawalipa wenzake kila gari 50k inaumiza sana
Ndio maana madalali wanakuwa na vitambi kama mkukiNatumaini tuko poa wabongo tuache roho mbaya nipo godown la mbaazi kama karani kwa wachina
Unakuta mchina analipa kila gari kushusha mzigo 150k mbongo mwenzako kisa yeye salange anawalipa wenzake kila gari 50k inaumiza sana